maamuzi katika ndoa...Amua ni maamuzi yapi yakuamua pamoja.

maamuzi katika ndoa...Amua ni maamuzi yapi yakuamua pamoja.

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
sote tunafanya maanuzi...throughout your day, every day...mengine yanatokea tu hata huhitaji muda mrefu kuwaza..mf. kupiga mswaki asubuhi
maamuzi mengine ni kama kuamua nn kipikwe jioni...etc
...maamuzi mengi yana athari za muda mfupi...ila yapo yenye madhara ya muda mrefu...AS A MARRIED COUPLE you need to talk about how you will make decisions. WHAT ARE IMPORTANT DECISIONS?
nimewaza nikaona haya ni mambo muhimu kujadili na kufikia muafaka katika ndoa kabla ya kufanya maamuzi
1.ni wapi mtaishi...nikimaanisha maisha yenu yatakua sehem gan...mkoa au nchi.
2.watoto wangapi mtakua nao...
3.jinsi ya kuwalea watoto...
4. jinsi gani mtatumia fedha zenu na kuweka akiba!
5.malengo ya baadae kama wanandoa...
nimejisikia kushare hayo najua unajua zaidi...tushirikiane!
 
maamuzi yote nafanya na mwenzangu, ndo maana hata shati tunaamua pamoja shati gani ivaliwe na suruali gani
 
Back
Top Bottom