The Alchemist I Member Joined Jan 27, 2018 Posts 52 Reaction score 70 Oct 3, 2022 #1 Mi nafikiri ingekuwa inawezekana TFF wangesajili waamuzi kutoka nje kama team za mpira zinavyo fanya. Tushuhudie burudani ya maamuzi ya kigeni hapa hapa bongoπππ. We unaonaje?????
Mi nafikiri ingekuwa inawezekana TFF wangesajili waamuzi kutoka nje kama team za mpira zinavyo fanya. Tushuhudie burudani ya maamuzi ya kigeni hapa hapa bongoπππ. We unaonaje?????