Kweli unazi unakusumbua! Kama unasumbuliwa na red card ya John Boko,hata sisi tunasumbuliwa na ile ya Uhuru. Au umeumia kwa vile wachezaji 5 wa Azam walicheza Algeria na wamefungwa na wachezaji 0 waliocheza Algeria! Utaumia zaidi kwani hata msimu huu kuna dalili kuwa hatupo tayari kupoteza points tuna njaa kama ya msimu uliokwishaits all facts
facts zipi??its all facts