Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
Uchaguzi huu Mkuu ndani ya Chama ulikuwa na maamuzi makubwa na Magumu,kwasababu CCM walikuwa wanatamani Mbowe asirudi ili apatikane mtu dhaifu ikiwezekana wamnunue,bila kujali propaganda zozote zile tumefanya maamuzi ya Kuwaleta na kuwaizinisha Makamanda.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app