Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
Uchaguzi huu Mkuu ndani ya Chama ulikuwa na maamuzi makubwa na Magumu,kwasababu CCM walikuwa wanatamani Mbowe asirudi ili apatikane mtu dhaifu ikiwezekana wamnunue,bila kujali propaganda zozote zile tumefanya maamuzi ya Kuwaleta na kuwaizinisha Makamanda.....View attachment 1299356
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani huyo Mkuu?Kuna wawili hapo ni watu wa kitengo na mmoja wao ipo siku ataunga mkono juhudi, na tusubiri tuone
One day yes.Back to our roots
β πͺ π€
Ana majonzi sana!Salumu Mwalimu...lugha ya picha...inaonyesha hayuko sawa siku hizi?
Hao wote ndio waliilangua Chadema 2015 kwanini unasema Mbowe hanunuliki?you can't teach old dog new tricks!Uchaguzi huu Mkuu ndani ya Chama ulikuwa na maamuzi makubwa na Magumu,kwasababu CCM walikuwa wanatamani Mbowe asirudi ili apatikane mtu dhaifu ikiwezekana wamnunue,bila kujali propaganda zozote zile tumefanya maamuzi ya Kuwaleta na kuwaizinisha Makamanda.....View attachment 1299356
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba ulete CV ya mr. PolepoleHao wote ndio waliilangua Chadema 2015 kwanini unasema Mbowe hanunuliki?you can't teach old dog new tricks!
Sent using Jamii Forums mobile app