3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
- Thread starter
-
- #21
Nimekaribia tayariKaribu kwa msitu mneneee...
Asante sana SoniaKaribu nyumbani
Ha ha ha uliwaonaje mkuu?
Asante sanaKaribu sana JamiiForums...
Asante
NashukuruKaribu sana.
Ha ha ha asante sanaKaribu Sana Jisikie Uko Nyumbani Naona Umemudu Vyema Kutumia Misamiati "Mkuu "
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah! Kuwa mwana JF inabidi uwe na roho ngumu na ngozi ngumu kama mamba. Watu humu wana matusi na maneno makali zaidi ya wembe...Mkuu kujiunga jf tu nayo ni maamuzi magumu.
Hapana labda ukiwa uwezi kucheza na mind za watu tu ndio jf itakusumbuaYeah! Kuwa mwana JF inabidi uwe na roho ngumu na ngozi ngumu kama mamba. Watu humu wana matusi na maneno makali zaidi ya wembe...
Picture unaihitaji kwa matumizi gani mkuu? Ila jinsi yangu ni mlio wa mbuziPicture yako... Ww n ME au KE
Sent using Jamii Forums mobile app from my Andoid phone
Asante sanaKaribu sana JF.....
Tukufaham nothng elsPicture unaihitaji kwa matumizi gani mkuu? Ila jinsi yangu ni mlio wa mbuzi