Kisambo
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 845
- 514
Katika siku chache zilizopita tumesikia mengi yakiongelewa
1.Wabunge kulipwa mshahara na Bhahresa (azam) je mzee huyu atarejeshewaje pesa sake kama sio serekali kumpa msamaha wa kodi kwa miaka kasha.
2.Utaratibu wa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kwenda jeshin umesitishwa hii nisababu ya serekali kukosa ela.
3.Maji umeme vimeanza kuwa matatizo ktk miji karibia yote Leo hii wananchi wa Arusha wameandamana kwa sababu ya kukosa maji kwa zaid ya majuma sasa na idara husika AUWASA haina majibu ya kutosha.
4.Uandikishaji ktk daftari la kura ni kizungumkuti na uchaguzi ni kesho kutwa .
5.Soon wafanyakazi wa serekali wataandamana kwa kukosa mishahara Kwan tunajua toka mwezi November serikali imekuwa ikikopa toka kwenye taasisi za kibenki esp NMB,CRDB ili wafanyakazi waweze kulipwa mishahara.
6.Rais na waziri mkuu mtajisifia kuondoka madarakani kwa ununuzi wa kilimo kwanza kwa kila wakuu wa Mikoa,wilaya,wizara,makatibu,wizara,mawaziri na nk huku mkiacha nchi kwenye giza tororo yanayotokea Ugiriki na Tanzania soon yatatokea kwa nchi kukosa msaada wa kifedha kwa sababu ya deni la nchi kuzidi kiwango.
Hayo ni baadhi tu ya yale nilionayo Mh Rais na viongozi wako mnapeleka wap hii nchi ambayo mmekua mkijinadi ni kitovu cha Amani dunian huku tukizama kwenye dimbwi la ufukara? tumechoka!!!!!!!