Maamuzi magumu...!


Lol and what makes you think UMENIBORE??
Surely this is not the MTM I used to know!!
Sorry kama nimesound kama umenibore but hey life is so beautiful here sweetheart, I cant let a mere discussion bore me and ruin my day. Comn hebu ukuje utupe somo. Infact I love your perspective kwani inanifanya nichangamshe kichwa
 
mi naona ukisha move on bora ukomae hivo hivo,afterall hiyo mijamaa mingine ni abusive,iende zao huko.
 
Reactions: Mbu

...yaani mwj1 umekuja at the right time kwakweli...ngoja nikapashe moto kiporo niendelee kuidadavua hii mada...
safi sana kwa uchambuzi wako...i hope kina Lizzy sasa wataelewa uzito wa skendeli hili...na mdada anavyosema " bora ya zimwi likujualo...!"... hizi what if's ndio nilizoshindwa kuziweka bayana hapa...angalau wewe umejivika viatu vya huyo mdada...MTM usiondoke kamanda...



...mwj1, kama nilivyoeleza awali, maelezo yapo vague,...siwezi kum pressure sana a reveal yote...kwani kuna watu wana uwezo wa kutafuta hizi sympathetic votes kwa njia mbalimbali, na kuna watu wapo reserved sana, lakini pia wana watu wao ambao wanaweza kuwamegea sehemu ya story.

mimi na yeye tupo kwenye kundi la pili,..amenimegea sehemu ya maisha yake...
lakini hizo past relationships zote waliishia 'vibaya' bila muda wa reconciliation...
narudia, bila muda wa reconciliation...----

ati???

can you confidently tell me kwamba huyo amekata ties na hao wa zamani? or do you sense enthusiasm kwa huyo mpya??

hebu ngoja niende zangu kunyoosha viungo mie naona kizunguzungu tu

...kamanda subiri bana,....utakwenda gym baadae....
hivi, ukisha cut ties na ex spouse/ partner...baadae maishani mkikutana utaendelea kuchuna tuuu?
as if hamjuani? ...hapana, huyu mdada kwasababu zilizo nje ya uweza wangu kuelewa, they've managed to re establish their
friendship bana...lol
 
Lizzy mamito hapa umemaliza. Jibu la hili swali ndilo litadetermine ushauri wa Mbu kwa huyo mtasha!!
Mamy inabidi ajue hisi zake ziko wapi ili asije akamchagua ambae sio alafu mambo yasipoenda vizuri ajikute anajilaumu na kujuta zaidi kwa kumpa mtu nafasi wakati hakustahili na wala yeye hakumpenda kivile.


MTM tayari inajulikana kwamba bwana namba tatu hana nafasi sana kwa huyo dada tokana na hisia zake kwa hao waliotangulia kwahiyo swala la yeye kumwagwa na kuchaguliwa mmoja kati ya wale wawili ni zaidi ya obvious. Hata hivyo bado ni vizuri akipata mawazo ya watu wengine maana kuona situation yake kwa jicho la mtu mwingine kunaweza kumsaidia kufanya maamuzi sahihi na kugundua kwamba hiyo circle aliyonayo imekaa kiuharibifu zaidi.

I mean badala ya yeye kurudi kwa abusers kwa kua tayari wanajuana kiundani na wamezoeana anaweza akawatoa maishani mwake kwa kujua kwamba things might never change...and they might even get worse.Baada ya kuwatoa hao akaangalia vizuri na huyo namba tatu kama kweli anataka kuwa nae au la.....na kama anataka kuwa nae iwe for the right reasons. Kama sio awafute wote watatu..apumzike kujipa muda wa kuwaondoa wote watatu kwenye maisha yake kabisa kabla ya kujaribu kwingine ili huu mchezo usijirudie tena then atafakari na kujua anachotaka kabla ya kujiingiza kwenye msitu mwingine bila kujua nini anachofuata alafu aje kutoka huko mikono mitupu tena na majeraha juu.
 

Sasa hapa ndipo theory ya MTM inapoingia na kucatch the base na kwa mara ya kwanza nitakubaliana naye. Umesema hao exes wake hakuna alooa? huyo alore-establish friendship (whatever you define it) hajaoa? hana relastionship? lol naye amekuwa looser kama huyu dada anavyojitafsiri?? (angalau kwa mtazamo wangu)?

MTM hebu rudi baba tumsaidie Mbu na mate wake. NAona hadith inanoga sasa.
 

...hapana nyumba kubwa,....huyu mdada ameniomba ushauri jinsi ya kui handle situation hii...
maana kazungukwa na mapenzi ya pande tatu...kuna kitu/vitu vinakosekana maishani mwake kiasi kwamba hawa wanaume watatu kila mmoja ana mazuri yake....



...aaarrgghhh, kamanda usiondoke bana...khaaa?
mwanajamiione asikushinde kwa hoja bana, ...mpaka sasa wote humu
umeweza kuwashawishi kwa huo msimamo wako...hiovi ukimkimbia mwj1
aspirini na klorokwini watakuelewaje hapa?

hapana, pambana kwa hoja...
hilo la wanaume watatu wasio na mtetezi nimelipenda sana ulivyoliweka,
kumbukeni niliweka maneno hapa kwamba mdada kajichunguza na amegundua iwapo anayoyafahamu
sasa angeyajua hapo awali labda angeokoa mahusiano yake...maybe they deserve another chance...

halafu, klorokwini juzi aliandika kwenye posti fulani kule nje, kwamba ni bora ujikubalishe kwa partner ambaye
anaweza kukuvumilia mapungufu yako,...hudhani mdada anajionea ni bora nusu shari?
 

Hapo hata mi pamenichanganya kidogo hapo mkuu.
Ila ninachoweza kumshauri, aangalie nani ambaye anampenda sa
babu kwa jinsi hii case ilivyo inaonekana wote wana-equal chance za kuwa selected, so aende kwa yule ambaye moyo wake umeguswa.

NB: ajichunguze vizuri kuhusu huyu kijana mpya, sababu unaweza kukuta yeye hajampenda ila alienda kwake sababu tu labda alikuwa desparate, binadamu tukitoka kuachana tunakuwa na kaaina flani ka kuchanganyikiwa mara nyingi inakuwa ngumu kufanya maamuzi sahihi ya kihisia za mapenzi, hvyo huishia kuangalia sehemu ya kupumzika....
Ngoma uchovu ukiisha sasa! Unatafuta pakutokea na kuanza kuona mapungufu ya kijana/binti wa watu lol
 

Mbu we unamwamini MTM! si mtu wa kukata tamaa kirahisi hivyo. Ananilia tu timing huyo akirudi hapa utaniona ntakavyokimbiza bawa langu, kunguru mwoga mie!! lol
 
Reactions: Mbu

Hapo kwenye red nadhani ndio haswa panapochangia huyu dada kuwa kwenye situation aliyokuwamo.
Yani yeye kabla ya kuvunja ties na abuser A akakimbilia kwa abuser B...huko nako kiliposhindikana akakimbia bila kufunga milango mpaka anaweza kuwa gentleman C. Sasa milango yote iko wazi hajui aingie wapi...ndio maana mwisho nikasema itakua best kama ataweza funga milango yote mitatu (iwapo C hana nafasi kubwa moyoni) aanze upya. Otherwise atazunguka kwenye hilo duara mpaka apate kizungu zungu.
 

WORD- Aksante JouneGwalu hili nalo neno!.

All in all huyu mdada anatakiwa ajichungue haswa (kama hajajichungua) na kufanya maamuzi ya msingi.
Mbu ushauri wowote utakaompatia sisitiza afikirie kwa kina kabla ya kuamua.

Nimekuuliza Mbu huyu mdada hakujaaliwa kupata watoto? maana kama anao watoto, with this confusion yake ningemshauri asijiingize tena kwenye mahusiano, akae alee wanae lol!
 
Kabisa Lizzy unless Mbu anajua interval ilikuwaje loh!! (Information nyingine ni ngumu kuzipata!!). Mambo ya unfinished businesses with the former Boss!!
 
Hahahah,..dada ana lots of unfinished business!!
Bora ahangaike kuzimaliza kwanza kabla ya kuanzisha mpya!!
Tena si kulianzisha tu asijetuumizia huyu shemeji yetu wa tatu loh!!!

Nawaza tu hivi wanaume wao huwa hawaabusiwi? loh natakamvika uanaume huyu workmate wake Mbu hah maisha matamu aisee
 
QUOTE=Lizzy;2726740]Hapo kwenye red nadhani ndio haswa panapochangia huyu dada kuwa kwenye situation aliyokuwamo.
Yani yeye kabla ya kuvunja ties na abuser A akakimbilia kwa abuser B...huko nako kiliposhindikana akakimbia bila kufunga milango mpaka anaweza kuwa gentleman C. Sasa milango yote iko wazi hajui aingie wapi...ndio maana mwisho nikasema itakua best kama ataweza funga milango yote mitatu (iwapo C hana nafasi kubwa moyoni) aanze upya. Otherwise atazunguka kwenye hilo duara mpaka apate kizungu zungu.[/QUOTE]

Ahsante montress wangu, hili suala nimeanza kuliona ni pevu mara baada ya kupitia posts za kaka MTM (rudi bro bana) na misimamo yake kwenye suala hili,
Kwa jinsi tunavyoendesha mijadala mipana kama hii mara nyingi inapendeza issue i-balance. Kwa mpaka hapa bwana MBU hii ngoma haina msawazo kwamba hatujui pia hao abusers (japo sijisikii kuwaita hvyo) kwa upande wao. Ni kweli walimu-abuse? Tuelewe kidogo upande wa pili wa hadithi.
Ila niunge mkono hoja ya Lizzy, bishosti afunge milango akae ndani peke yake mpaka mvua iishe.
 
Tena si kulianzisha tu asijetuumizia huyu shemeji yetu wa tatu loh!!!

Nawaza tu hivi wanaume wao huwa hawaabusiwi? loh natakamvika uanaume huyu workmate wake Mbu hah maisha matamu aisee

Hahahhaha....MJ bana!!!
Wanaume nao hua wanaabusiwa sema tu hawaongelei kwa uwazi kama sisi.
Na sasa hivi C anaabusiwa kihisia maana dada anamwacha ampende wakati dada mawazo pengine hata na mapenzi yake yamegawanyika kati ya A na B.
She is being quite unfair to C aisee!
 
...............dah! umeongea ukweli mtupu mana mvutano wake kama mkuki unamchoma mtu moyoni vile akiambiwa amuache yani ni hataki hata kusikia ingawa kila cku anakua na manundu kila cku loh!.............anaweza amuache kama wiki anamrudia tena ............miez cta lkn anarudi tena yani balaaa tupu na wanaume wakorofi wanamaneno matamu asikwambie mtu waweza kujiona ni ww tu ktk hii dunia hiyo saa anakubembeleza na wakati anakupa kosovo na nato utajiona kama uko jangwani peke yako no water wala kijivuli hata cha kujisitiri na hilo jua(kwa ufupi wanakupa tamu na chungu at da same time)
 
Reactions: Mbu

jG hapo kwenye red hamna yeyote anaeweza kumuamilia huyo dada kwamba ni kweli au sio kweli alikua abused.
Kwasababu yeye ndio muhusika na ndio anaejua yaliyotokea na ni kwa namna gani yalimuumiza hivyo inabidi tuamini/kubali kwamba alikua abused kulingana na uelewa wake.

Inawezekana yaliyotokea yasiwe makubwa kwangu au kwako ila kama kwake ni makubwa basi inatosha.
 
Reactions: Mbu

Mbele kwa mbele, anawarudia hao wendawazimu ili iweje? kama anajua wana mkakati wa kumrudia basi nae aweke mikakati ya kuwakimbia. Simply brother!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…