Maamuzi magumu...!


Kweli "Mwana"
hata mimi nmeanza kuliangalia hili suala kwa kupunguza jicho la huruma ya kudhalilishwa, kuna ukweli mchungu inabidi tuanze kuungalia kuhusu historia ya huyu dada yetu. Maadamu ametupa nafasi ya kuhusika katika maisha yake basi na sisi inabidi tumuonye hatuchezi na maisha ya watu, TUPO MAKINI.
Mkuu Mbu tuongezee file zaidi za dada yetu.
 
Reactions: Mbu
...hehehe!....

aise umeiweka vyema sana...nitai print kisha nitatafuta mkalimani aniwekee kwa 'kidhungu,' maana mdada mwenyewe "...know what i mean" nyiiiingi!

Nimerudi mkuu...
Nashukuru kutoka uwanjani na ushindi....naona wapata ushauri wa kutosha.
Nasisitiza,usimshauri nini afanye....ila mpe mwongozo wa matokeo ya kila uamuzi atakaouchukua....
 
Reactions: Mbu
Duh!Sijui nisemeje ngoja nitafakari zaidi!
 
Reactions: Mbu
Tena si kulianzisha tu asijetuumizia huyu shemeji yetu wa tatu loh!!!

Nawaza tu hivi wanaume wao huwa hawaabusiwi? loh natakamvika uanaume huyu workmate wake Mbu hah maisha matamu aisee

...dahhh, we acha tu...unataka nijifungue hapa kesi hii inibadilikie?



...lol....hapo mwanaume C anakuwa pyschological abused bila kujitambua...lol...



...umeona ee? ndiyo maana nikatahadharisha abuse inaweza kuwa na maana isiyokubalika kwa mdada, wakati kwetu sio tukajionea mambo ya kawaida tu...
si ushawahi sikia binti anakwenda shitaki kwa mshenga, na wakwe kwa vituko vya mumewe anaambiwa "wewe vumilia tu, wanaume ndio walivyo...sote tumepitia huko huko...ndio ndoa hiyo mama!"
 

....dahhh, mwj1 hapa tukiingiza mtoto au watoto mjadala huu utachukua sura ya huruma zaidi...acha tuuachie hivi hivi hawa ma stelingi watatu, ...ambapo naona conclusion ya wengi imeegemea kwenye lawama kwa mwanadada awe na msimamo badala ya kumuumiza/kuwaumiza wanaume hao watatu...dahhh

kwahiyo,...ndio kusema kwa mtazamo wa wengi aendelee naye huyo wa tatu au?

 

Najiuliza pia what if MTM's theory (ambayo kwa kiasi kikubwa inaonekana kuhold water) ikawa ndio sahihi?! Hahaha but I reserve some cents kwa upande wa pili wa what if kweli huyu mdada yuko confused kikweli?? kuwa kweli alikutana na wakora (may be choices zake zina walakini) na wakamuumiza kiukweli, na the fact kuwa huyu wa sasa (ambaye mie ninamtetea kuwa kwa kuwa bado hawajajuana kivile anasuffer the consequences) biashara haijaeleweka, mdada umri labda unakwenda na yeye anataka familia lol anajikuta tu amechanganyikiwa!!

All in all to me nafikiri mweleze tu kuwa the best therapy lies in time! Ajipe muda wa
1. Kusort out kwanza kati ya hao Exes wake yupi yeye anahic akiambiwa chagua, atamchagua amrudie
2. Ajiulize prons na cons za kumrudia huyo ataemchagua (Hapa hana budi kukumbuka kuwa kama alikuwa ni abuser kweli (mdada awe genuine kuidefine abuse huku akiweka mkono wake katika kusababisha hizo abuse) basi uwezekano wa kubadilika kiukweli ni mdogo sana)
3. Ajiulize nafasi ya huyo selected Ex na huyu shemeji wa sasa (pamoja na kuwa hajamfahamu vema na kumtrust) anastand chance ipi ? na
4. Je if is not huyu shemeji wa sasa ambaye mwenyewe anasema yuko OK, anajiamini kuwa anawezapata mwingine ??
 

Dah asije akarudi kwenye misitu yenye simba kwa woga wa kukosa mwingine!!!
 
Reactions: Mbu


hahahahahahahah! mwj1 nimecheka kwa sauti hapa ujue?
duuuuuhhhhh, MTM upo wapi kaka?.....

khaaa!, Lizzy, Nyumba Kubwa....mnamsikia mwanajamiione huyu?
hebu msomeni haswa hapo nilivyomuelewa mimi kwenye red...khaaa?

mwj1 nimezidi kukupenda kwa jinsi ulivyoukoroga tena huu uji...aisee!..
kazi kwao, ama wale mboga...au wasubirie uji wa ugali usowiva!
 

Well...Mbu kama dada hataki kutoka kwenye hiyo circle ushauri wa MJ ni valid....
Aangalie X yupi mwenye nafuu alafu alinganishe na wa sasa kisha achague.
 
Dah asije akarudi kwenye misitu yenye simba kwa woga wa kukosa mwingine!!!
Hahahah Lizzy asa tusemeje maana bi dada inaonekana hajielewi kusi wapi kaskazi wapi ah! hebu ajipe muda zaidi kutafakari maisha yake bana. Na asiombe ikawa na huyo mkaka wa sasa alishagaumizwa huko nyuma sassa It wont be fair akaumizwa tena on the expenses of Exes bana!

Mie nilishampa credits huyu dada kwa kuweza kuwa'mwaga' (Kama ni kweli hakumwagwa hahah) hao wakaka ambao amewadefine kama maa-buser sasa navunjika moyo kama anataka kurudi tena huko kwenye matapishi aloyatapika mwenyewe!! ah
 
...kwa wale wasomaji wapya, hii ndio MTM's Theory
....


...mwisho wa kumnukuu!...na tuendelee na mdahalo,...patamu hapa...!
 
Sasa tusemeje Mbu? Maana huyu bishost kakufuata kuomba ushauri lakini kakupa masharti kama ya WB na IMF.........kuwa we nishauri tu lakini jua moyo wangu umeelemea huku. Kitendo cha yeye kukwambia kuwa 'this guy am seeing now is just OK' kina ujumbe mzito bana akha mie sasa karibu nitatangaza rasmi kuhamia kwa MTM ah mtu gani hateteeki? Huyu ni wa kumwachia Klorokwini anayependa pesa ndo ajikakamue kusoma mavitabu ya cases hapa akhu!

Nilitegemea angesema anachanganyikiwa kuwa muda unakwenda, the GREAT GUY she is seeing right now hajapropose au haeleweki na hawa ma-exes wamefunga speed 120 na Baby come back. Then aombe umshauri how to assure the current guy kuwa shes over the past annd certainly wont be allured with their baby come back proposals. ... but lkumlinganisha the current man na hao alokwishawatoa maanani ah
 
Well...Mbu kama dada hataki kutoka kwenye hiyo circle ushauri wa MJ ni valid....
Aangalie X yupi mwenye nafuu alafu alinganishe na wa sasa kisha achague.

...lahaula walauqwata.... Lizzy sasa nawe ume give ground?...umekubali matokeo?
ndio maana nikafurahi kumuona mwj1 hapa, maana najua ana nguvu ya ushawishi, mpaka
nawe umesalimu amri...?

anyway, kwanza nikuweke tu sawa...mdada huyu yeye sio kwamba hataki ushauri, la hasha...
shida yake amejikuta kwenye dilema hii kwa sasa,...na kama alivyotanabahisha mwj1...
kuna factors nyingi zinazoingia akilini kwanini yupo kwenye dilema hiyo...
zikiwamo;

tofauti na uzito wa mapenzi baina ya watatu hao, (the 3rd poor chap, anaishi huko UKraine,)
mazoea, (better the devil you know...) kutokana na anavyojijua mapungufu yake
umri, stability, ...nk...

kwa mtaji huu, nawe unakubaliana sasa na mwj1 katika hao ex-'s amfikirie
aliye na nafuu compared to the other two? ....lol!
 
...kwa wale wasomaji wapya, hii ndio MTM's Theory
....



...mwisho wa kumnukuu!...na tuendelee na mdahalo,...patamu hapa...!
Lol am getting curios hapa loh...............surely hapa MTM makes sense kabisa na ninampongeza kwa kuchambua vema. Sasa ni wewe Mbu unayemfahamu huyu mdada, nina maswali machache
1. je anawezakuwa hivyo??
2. Kwa ushauri wetu basing kwenye theory ya MTM, utamshauri nini?
3. What if by chance ikatokea kuwa she is not what we think she is, halafu pengine ushauri wako ulikuwa wa yeye kukaa mbali na huyu wa sasa (mfano) je ikitokea kuwa she was genuine; utajisikiaje kwa ushauri ulompa?

Loh leo nina wewe unless umshauri pia ajiunge Jf japo kwa wiki ijayo atauliza sehemu asozielewa (wengi tunatumia kiswanglish)
 

Hahahahha sasa jamani sindo maana akamhusisha Mbu ili kama anamuelewa amueleweshe!!!lolzzz

Dada ana kazi....
Yeye kama yeye anadhani halijui hilo.....anachojua yeye ni kwamba ana uchaguzi wa A, B , C na anataka ushauri wa je achague yupi na baada ya kuchagua hao wengine awapotezee vipi. Sasa anatakiwa kujua kwamba uchaguzi ni hatua ya mwisho kabisa...kwanza a-break hiyo circle ili vyovyote vile atakavyochagua isije ikamrudia tena tuanze kushauri upya!!!

Mbu mwambie dada achukue mapumziko ya muda nje ya circle apate muda wa kutafakari badala ya kuendelea kujichanganya zaidi.

Alafu Mbu hapo kwenye pia waliamini time is a healer...ipo siku mwanadada atajichungua upya na kugundua naye alichangia kutokezea breakups hizo... pananitatiza.
Huyo dada haoni kwamba mpaka waseme hivyo ni kama vile wanamwandalia firearms pale ambapo mambo hayataenda kama dada anavyotumaini? Yani mambo yasipoenda atatupiwa lawama yeye kwamba muda haujamsaidia kubadilika yeye wa sasa ni yule yule wa kipindi hicho na wamepoteza muda kumrudia???Na kama kuna kichapo anastahili......??? Nauliza tu!!!
 

Hahahahaha....Mbu sio hivyo bana.
Nimeona tu kwamba ushauri tunaotoa wa kuvunja circle na kuanza upya unaweza ukawa sio dada anaoutaka/hatokua tayari kuupokea. Sasa kwasababu tumeshautoa (kazi kwake kuchukua ama kuacha) tunaangalia na upande wa pili afanyeje within the circle to make it work!!!

Unajua ni ngumu sana kumpa mtu ushauri wakati mawazo yake yanaonekana kwamba tayari yapo fixed sehemu moja. Ndio maana hata mimi mwanzoni niliona hamna cha kumshauri maana ameshaamua zimwi limjualo ni bora kwahiyo achague moja kati ya hayo mawili.... ila baadae nikaona umuhimu wa kumshauri tofauti ili aone faida ya kutoendekeza hiyo huruma na woga anaoonekana anao.
 

Hapo kwenye Blue- If she really managed to do that. Kwa sababu my thinking ni kuwa kama wa kwanza alimwona hafai akamwacha akenda kwa wa pili ambaye naye akamwona hafai chance ni kuwa wa pili alikuwa worse kuliko wa kwanza! otherwise angemvumilia huyu wa pili. Na kakma wa pili alikuwa worse than wa kwanza possibility ingekuwa kurudi kwa wa kwanza kwani ameonyesha ana nafuu kuiko wa pili. BUT the fact that hakurudi kwa any of them akamtafuta mwingine ni wazi kuwa hao wawili akiamua kumrudia yeyote hapo atakuwa anafanya kwa sababu nyingine kabisa na si mapenzi.

Mshauri ayafungue zaidi macho yake kwa huyu wa Tatu otherwise akae mwenyewe hadi atakapojaaliwa star kama aliumbiwa wake!
 
Reactions: Mbu
Mbu pole on behalf ya huyo mdada.... Nimeobserve Great inputs toka kwa members mbali mbali na Ushauri ulosimama in most cases... Hopefully by the time umemaliza you get an answer in relation na tatizo... Nimepita hapa Mkuu.... Salsmu kwa wachangiaji wengine woote. Usiku mwema.
 

...lol...mwj1 hebu usimnyanyapae rafiki yangu bana...
kukosea kupo, na mamuzi ya haraka na hasira kisha kuja yajutia baadae yapo...
ndio maana miongoni mwa hoja za huyu mdada ni kwamba, sasa amejitambua naye ni kwa kiasi gani alichangia
kuharibu huko nyuma....what ifs zimemtosha...



...dahhhh, halafu kuna mahala nilikusoma umeandika hizo presha za 'mbona hakieleweki' zitapelekea wawili hao kuoana for wrong reasons si ndio?

ulishanivutia kwenye hoja zako pale ulipo empathize na huyu mdada...
sasa mara ghafla nawe unageuza tanga...khaaa...? umri unagonga mid 30s sasa
woga lazima awe nao jamani...
 

...hapana, hebu urudi huku bana.,...pliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzzz....hebu nipe input yako bana, usiku bado haujawa mpevu hivyo...lol...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…