Maamuzi magumu...!

Hapana Mbu ninajaribu kuiposition theory ya MTM kwa sababu so far we have one sided story but I still believe kuwa she deserve to be given the benefit of doubt kweli tena. I still symphasize with her but I have to loo at both sides hata kama huku kwingine nitatumia case studies.

Nina maswali yangu ambayo nimekuuliza sijapata jibu na hivyo nguvu zangu za kumtetea shost hapa zinamezwa na mtetezi wa wanaume hawa watatu bana. She need to open up kwako kama anahitaji ushauri.
 
Mbu namdediketia rafiki yako one of my favorite songs....labda utamuINSPIRE .
Sia - Little black sandals - YouTube

I'm being dragged down, down by the hand
The hand of a golden giant man
He's crushing my knuckles
Splitting my skin, he says he'll let go
If only I'd ask it of him

He says
Girl, it's your call
You wanna fly
You wanna fall
So I shout
I wanna get away from you
As fast as I can
I tell my feet to move it
I hope they have a plan


These little black sandals
Are walking me away
These little black sandals
Are heading the right way

These little black sandals
Are walking me away
These little black sandals
Saved my life today

So now I'm free
Free
From the big bad giant
Who was stalking me
Thank you feet, for guiding me
I'm glad somehow I got brains down there, at least

These little black sandals
Are walking me away
These little black sandals
Are heading the right way

These little black sandals
Are walking me away
These little black sandals
Saved my life today

Sometimes I'm tempted
Sometimes I am
I would be lying if I said I didn't miss that giant man
He was the line between pleasure and pain
But me and the feet have some years to reclaim

These little black sandals
Are walking me away
These little black sandals
Are heading the right way

These little black sandals
Are walking me away
These little black sandals
Saved my life today

Maamuzi ni yake....
 

mwj1, na mapeema nilisha li address hili kwamba mbu mie hapa ushauri wangu umefikia kikomo...kwani
msimamo wangu tangu mwanzo, siwaungi mkono kabisa hao waliokwisha mu abuse, physically na pyschologically
tatizo ni ule usukule unaotokana na huyu mdada!

hao wakaka wanajua right buttons za kubonyeza bonyeza, hili pia linamchanganya sana huyu mdada...
...hata gari kuu kuu lingekuwa na uwezo, lingegomea swichi za indicator, ignition na wiper kuguswa!


...lol...maswali ya msingi haya,...."opposite attracts?" nyumba kubwa alihoji
[h=1]Why Good Girls Love Bad Boys[/h]
 
Huyu dada alikosea ushauri wa kuomba. Alitakiwa apate jibu "ni kwa nini kwa mara mbili mfululizo, wanaume wake walim-abuse kwa stail inayofanana"? (atoe detailed information). Kuna uwezikano huyu wa sasa its matter of time, nae atamdunda...

Kumshauri sasa aende kwa yupi, hatujasolve tatizo, sanasana tuna-multiply tatizo...
 
Dah in this case naomba nirest my case.......nasubiri mwaka upite utuletee feedback kama MTM alivyotabiri.
 
Reactions: Mbu

Haya sasa Mbu angle nyingine hiyo!
Aksante TUko.
 
Reactions: Mbu

...lol....salaaaaaale! hahahahahahahahahah!
ee bana eeee? wewe umeenda deep hapa nimecheka kwa sauti hasa!

kwa definition hii, unakubaliana na utetezi wa mdada "better the devil she knows....!"
khaaa, maskini mdada huyu....why falling for "wrong" guys? nitamuuliza iwapo keshawahi
tishiwa kofi na huyo wa tatu...once bitten, twice bitten, thrice shy


There are currently 31 users browsing this thread. (12 members and 19 guests)

  • ....
 

Hah inategemea na definition yake ya abuse Mbu, unawezamwuliza ukashangaa jibu utakalopewa loh wakati wewe unasubiiria .........ndio alishaniabuse kwa kuntishia kibao.........ukakumbana na ........ndio ananiabuse kwa kutonijali lol
So inategemea na definition yake ya abuse!! lol
 

Kuna watu ambao hua wanaattract manyanyaso bila wenyewe kujua tokana na madhaifu yao...pamoja na kujiona mdhaifu.. Na hua wanawindwa na wanyanyasaji vile vile kwasababu wanajua wanaweza kuwacontrol kutokana na madhaifu yao. Inawezekana huyu dada ni mmoja wao na hao wapenzi wake ni abusers by nature.

Pia watu kama hawa hua wanaogopa sana kuachana na wa kale kwa hofu ya KUTOTAKWA na mtu mwingine na sio KUPENDWA. Inawezekana ndio maana dada akili yake yote kwa exes wakati anajua fika wanachoweza kumfanya!!
 
Dah in this case naomba nirest my case.......nasubiri mwaka upite utuletee feedback kama MTM alivyotabiri.

...hapana, umemkimbiza MTM hapa,....sio kawaida yako kushindwa mdahalo kirahisi hivyo...


Haya sasa Mbu angle nyingine hiyo!
Aksante TUko.

...nimeiona soulmate, mnh! hilo nalo neno wangu....

bahati nzuri nilishayatanabahisha haya na mapema mno
kwamba mdada ana reservations zake za msingi tu kwanini
ajifikirie na msemo wa "jini likujualo,....!" haswa lile neno, angalau hao wawili wa mwanzo
wanamjua mapungufu yake na anajua wanavyoyapokea
(sijui ndio hiko kipigo, dharau na matusi?)

....huyu aliye naye long distance,, hana muda wa kutosha kumsoma naye ata react vipi...
hii kesi sio rahisi kiviile, au ni mimi naikweza?
 

Hahahahhaha....MJ sasa hii ni too much!!
Ananiabuse kwa kunioshesha vyombo na kuniambia niamue kama nayataka mahusiano yetu au la!!!
Kaaazi kweli kweli!!!
 
Mimi kabla ya kumuhukumu huyu dada naomba tukubaliane kwamba huyu dada
1) hajielewi
2) hana maamuzi
3) hana msimamo

tukubalianeni hapo kwanza kabla ya kumchapa dozi inayomfaa. Kama nimekosea nikosolewe kabla sijasonga mbele.

Hongera zake Van Persie
 

No doubt hapo Kloro...
Mtu akibisha ni sawa na kusema carot sio carot ni matango!!!
 

...mwj1 nakuvulia kofia wallahi, hahahaha.... umenielewa vizuri sana kwa unyuzi huu..



swadakta Lizzy, tupo ukurasa mmoja ...dahhh, mpaka raha!

hivi mimi wikiendi yote hii nipo busy kutafuta maoni yenu sababu ni nini?
nachelea mdada wa watu asiendelee kuwa msukule, ajijue thamani yake bila
kumsubiria huyo watatu kumpa thamani hiyo... haelewi!
 
Hahahahhaha....MJ sasa hii ni too much!!
Ananiabuse kwa kunioshesha vyombo na kuniambia niamue kama nayataka mahusiano yetu au la!!!
Kaaazi kweli kweli!!!
Hahahhaha Lizzy mydia we acha tu......mie siku hizi ninayatizama mahusiano kwa jicho lingine kabisa! Yaani kama na darasani ningekuwa makini hivi, mbona ningerushwa madarasa!! lakini pamoja na kukazana kukodoa macho bado mapenzi na mahusiano ni another headache my sweetie.

Mbu si kwamba unaikweza hii ishu ni nzito mydia yaani bora usingeahidi jibu jumatatu!!! na hivi hao wenzetu wana yale ya ............But you promised........ utabana ngenge.
 

No, No, No, Mbu...

Kabla hujamtetea inabidi ujihakikishie (au utuhakikishie), who is wrong... hao wanaume au yeye. Hizi methali kwa mfano "nyani haoni kundule", "Mtenda akitendwa huhisi kaonewa", "Mkuki kwa nguruwe...", n.k ni za zamani lakini bado zianweza kuwa na maana hata sasa...

Unajua ingekuwa imetokea kwa mwanaume mmoja, tusingejiuliza sana at least, lakini wawili, tena mfululizo... Sitaki kumlaumu moja kwa moja, lakini nahitaji kwanza kujua why that??? Maana inanisababisha nianze na kuhoji "Kwa nini huyu wa sasa ambaye hajamuabuse, huyo dada hajampenda kiviile kama wale wengine wawili?!! Au ni kwa sababu 'yeye sio type ya ku-abuse abuse'? Maana sio siri, kuna wanawake wengi (sio wakurya wala nini), ambao automatically wanaivana zaidi na wanaume ngumi mkononi, na ukiwa mwanaume mstaarabu unaonekana 'not man enough'... na cha kusikitisha sana, zaidi ya 99% ya wanawake wanaoshobokea wanaume rude, HAWAJIJUI KAMA WANA 'HOBBY' HIYO...
 
Hahahahhaha....MJ sasa hii ni too much!!
Ananiabuse kwa kunioshesha vyombo na kuniambia niamue kama nayataka mahusiano yetu au la!!!
Kaaazi kweli kweli!!!

.....lizzy unacheka? lol...kuna wadada wanaenda shitaki waume zao wanawanyanyasa...hawataki wapikiwe, wafuliwe, wakoshewe vyombo, wala kutandikiwa kitanda....yaani mke anajiona ananyanyasika kufanywa malkia ndani ya nyumba yake !



....wakili maarufu, nice to see you back!

pamoja na mapungufu hayo, sidhani kama ni sahihi
kumtwanga sindano penye jipu la makalio!

van persie acha ende zake bana, hahaha!...
 
lakini pamoja na kukazana kukodoa macho bado mapenzi na mahusiano ni another headache my sweetie.

Nyumaaaz geuka MJ1...

Karatasi za wengine zinasomeka "Mapenzi na mahusiano is the sweetiest and happiest ingredients of life" Nahisi hiyo karatasi yako umeigeuza up side down...

Back to topic please...
 
Tuko mpaka hapa tuko pamoja. Tunatakiwa kuweza kuangalia pande zote mbili kama maabuser na mavictims.


Hili la kuwa[enda hawa wengine kuliko huyu wa sasa ninali doubt kwa sababu kuu mbili
- kwa maelezo ya Mbu ni kuwa kama ataamua kurudi atarudi kwa kuwa anarudi kwa Zimwi limjualo na si kuwa anampenda/wapenda kuliko
- Pengine huyu dada hajui nini maana ya kupenda na kama alivyoelezea Lizzy hajawezatofautisha kupendwa na kutakwa
 

...tupo ukurasa mmoja mkuu...yaani nakusoma huku nimeshika kidevu...unamkoma nyani giladi haswaaaaaa!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…