Maamuzi na kauli za Rais Donald Trump, je zina baraka za White House?

Maamuzi na kauli za Rais Donald Trump, je zina baraka za White House?

budagala

Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
75
Reaction score
137
Niweke wazi kwamba sina jibu kamili la mada tajwa. Lakini ninachokielewa ni kwamba Marekani ni taifa kubwa ambalo Rais yoyote anayeingia madarakani hawezi kwenda kinyume na vision yao.

Hata hivyo kauli na ubabe wa Rais wa sasa wa taifa hilo, zinatafakarisha sana hususani implication ya kauli yake ya kuwahamisha Wapalestina.

Pia soma: Maamuzi ya Trump yamelenga kuwasaidia Viongozi wa Serikali za Afrika kuwa Wabunifu na kutumia akili

Je kauli zake hizi huwa zina baraka ya white house? au huwa anakurupuka tu hatua inayoweza kuharibu international diplomacy ya taifa lake? Au huwa ni a well calculated move?
 
Back
Top Bottom