Maamuzi sahihi ni yapi? Msaada!!

Maamuzi sahihi ni yapi? Msaada!!

Zedikaya

Senior Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
119
Reaction score
14
Mimi ni msichana mrembo, msomi, aged 26, kuna kaka mmoja (30) ana mke wake na watoto wawili,he is handsome, has a cute wife ,familia yake ina furaha,
Mada> huyo people kanizimia kitambo na for 2 years tuko ktk uhusiano ambao mda wote huo kijana anasisitiza kunioa huku akidai wakat anaoa hakuwa na ufahamu wakutosha juu ya uamuzi wake na kudai kuna mambo mengi ambayo haina haja kuyazungumzia but promice zake ni kuishi nasi kwa upendo na misingi yote ya mapenzi bora,.
Nipeni reality kuhusu kuolewa naye kama b/mdogo au nikatae japo mi binafsi namkubali kijana.
 
Ni vyema umesema wewe msomi...kabla sijakushauri kisomi zaidi hebu tuweke wazi jamaa kaoa ndoa gani ya kiserikali au kiislamu au ya kimila...! Maana kwa unavyoeleza ni kama vile wataka kuolewa mke mdogo nayo inakubalika tu pale ambapo ndoa ya kwanza halali ni ya kimila au ya kiislamu(kwa wale wanaoruhusu) mke zaidi ya mmoja.
 
maamuzi sahihi yapo moyoni mwako tayari....
 
Kama mnapendana na ndoa yenu itakutambua wewe pia ni mke halali hakuna kipingamizi. Jiandae tu kwa ukewenza kama upo tayari.
 
zedikaya wewe ni mwanaume au mwanamke...nakumbuka ulishaleta mada ya mkeo hapa au nachanganya madesa mnh...
 
haaaah we Saaly umeshaambiwa yeye ni mrembo na msomi mbna humuamini?!
 
Back
Top Bottom