Maamuzi ya kucheka au kulia yanatoka wapi?

Maamuzi ya kucheka au kulia yanatoka wapi?

Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie.
Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe.
Kwanza Mungu si kama sisi wanadamu, kwamba ety, ukimuomba akupe kicheko atarudi kuangalia uliowaumiza, Nop.

Tunaumiza na kuumizwa na wengi, lakini si sababu ya kuto kupata kicheko au kuomba kicheko kwa Mungu.
 
Back
Top Bottom