Oscar Wissa Senior Member Joined Sep 5, 2018 Posts 108 Reaction score 170 Oct 11, 2024 #1 Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie. Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe.
Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie. Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe.
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Oct 11, 2024 #3 Happness is a problem
Danieli Shuma New Member Joined Oct 11, 2024 Posts 3 Reaction score 2 Oct 11, 2024 #4 Oscar Wissa said: Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie. Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe. Click to expand... Kwanza Mungu si kama sisi wanadamu, kwamba ety, ukimuomba akupe kicheko atarudi kuangalia uliowaumiza, Nop. Tunaumiza na kuumizwa na wengi, lakini si sababu ya kuto kupata kicheko au kuomba kicheko kwa Mungu.
Oscar Wissa said: Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie. Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe. Click to expand... Kwanza Mungu si kama sisi wanadamu, kwamba ety, ukimuomba akupe kicheko atarudi kuangalia uliowaumiza, Nop. Tunaumiza na kuumizwa na wengi, lakini si sababu ya kuto kupata kicheko au kuomba kicheko kwa Mungu.
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,836 Nov 5, 2024 #5 kaka waje wakujibu sasa