nyie mtaona matokeo najua mtanilaumu sana,na kuniona nimepotoka lakini ndo amani yangu ipo paleHata mie nilikuwa najaribu kutegua kitendawili cha Smile,
Ngoja kwanza atusimulie vizuri kile anachopanga kufanya ili tuendelee kubashiri!
Babu DC!!
kuna njia ni nzuri na njema watu wengi wanaiendea
hata mimi nilitamani na nilijitahidi kuiendea njia iyo
lakini naona imeshindikana na imekuwa mzigo na mateso kwangu
kuna njia nimeamua kuiendea
najua wengi wataniona nimekosea na nimepotoka na watanilaumu na kunidhihaki sana
lakini naitaji kupumzika naitaji furaha moyoni mwangu na nimegundua njia hii ingawa sio nzuri machoni mwa watu ,itanipatia furaha
Nadhani hapa njia alochagua ni kuendelea kuwa single hadi anafika 50. Kila la kheri
nyie mtaona matokeo najua mtanilaumu sana,na kuniona nimepotoka lakini ndo amani yangu ipo pale
Unaongoza kwa mafrastresheni
OTIS
kuna njia ni nzuri na njema watu wengi wanaiendea
hata mimi nilitamani na nilijitahidi kuiendea njia iyo
lakini naona imeshindikana na imekuwa mzigo na mateso kwangu
kuna njia nimeamua kuiendea
najua wengi wataniona nimekosea na nimepotoka na watanilaumu na kunidhihaki sana
lakini naitaji kupumzika naitaji furaha moyoni mwangu na nimegundua njia hii ingawa sio nzuri machoni mwa watu ,itanipatia furaha
ahahaaa nilikuwa sina mpango wa kucheka leo dahwachina huwa wananifurahisha sana,wao huwa hawana mda wa kuja ktk mtandao na kuomba ushauri,pindi mambo yaendapo kombo basi,hupanda ktk ghorofa ya 10 ama 12 na hujiachia kuanzia hapo hadi chini na hapo ndipo huwa mwanzo na mwisho wa maisha na kero za kidunia
kama tungefuata jinsi wachina wafanyavyo basi tungekuwa tunashughurikia mambo mengine na sio kushauri juu ya nini kifanyike baada ya kugombana na kupishana kwa kauri na mwenza wako
my take:- kwanini usifuate jinsi wachina wanavyofanya?
Hahahaa.Umejuaje?
Swali la kizushi...na wewe ni Iluminati?
?????????????????????/
ahahaaa nilikuwa sina mpango wa kucheka leo dah
haya bwana
hebu nipe method nyingine bwana naona wewe ni mtaalamunashukuru kama umefurahi
kwani furaha yako ni mwanzo mzuri wa kuanza upya na kutafuta njia mbadala itakayo ongeza furaha zaidi ya hii uliyoipata kwa mda mfupi uliopita
yawezekana usichague mchina method lakini ukatafuta inayohusiana ili mradi tu furaha yako iwe ni endelevu
All the best!
Wow Keren....Hujambo jamani..am happy kukuona
Mimi Smile hata sijamwelewa!
kuna njia ni nzuri na njema watu wengi wanaiendea
hata mimi nilitamani na nilijitahidi kuiendea njia iyo
lakini naona imeshindikana na imekuwa mzigo na mateso kwangu
kuna njia nimeamua kuiendea
najua wengi wataniona nimekosea na nimepotoka na watanilaumu na kunidhihaki sana
lakini naitaji kupumzika naitaji furaha moyoni mwangu na nimegundua njia hii ingawa sio nzuri machoni mwa watu ,itanipatia furaha
sio njia hiyo kaka