Maamuzi ya raisi wa yanga dhidi ya Fei,yameacha alama ya tahadhari kwa wachezaji wengine na hawawezi kukaa yanga

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nataka niwaambie kuwa,kauli za kibaguzi za mhandisi Hersi,kiburi cha pesa na nguvu ya wanasiasa walio nyuma yake,dhidi ya wachezaji,ni mambo ambayo yameleta utisho wa wachezaji kutotamani kucheza yanga.

Zile kauli kuwa hakuna mchezaji aliye juu ya club,ziliwafanya washindwe kutumia busara kutatua migogoro,na badala yake kufanya mambo ya kuwatisha wachezaji.

Wakati mwingine kuwalaumu eti wameuza mechi,wakati sio kweli,hilo ni jambo linalowaumiza sana wachezaji na wengi wanapoteza kujiamini.

Kwa huyu rais ni suala la muda tu.Mtakuja kuumia na hamtasahau.
 
Hatumtaki na yeye tumpe "Thank you" yake asepe atuachie yanga yetu.
 
Baadhi ya Viongozi wa mihimiri mingine kuingilia suala la Yanga na Fei, ndio wamedhoofisha msimamo wa Yanga
 
Nataka niwaambie kuwa,kauli za kibaguzi za mhandisi Hersi,kiburi cha pesa na nguvu ya wanasiasa walio nyuma yake,dhidi ya wachezaji,ni mambo ambayo yameleta utisho wa wachezaji kutotamani kucheza yanga.

Zile kauli kuwa hakuna mchezaji aliye juu ya club,ziliwafanya washindwe kutumia busara kutatua migogoro,na badala yake kufanya mambo ya kuwatisha wachezaji.

Wakati mwingine kuwalaumu eti wameuza mechi,wakati sio kweli,hilo ni jambo linalowaumiza sana wachezaji na wengi wanapoteza kujiamini.

Kwa huyu rais ni suala la muda tu.Mtakuja kuumia na hamtasahau.
Kwaiyo kwa akili zako kuna mchezaji mkubwa kuliko timu? Labda uko kwenu umbumbuni ndio anaweza akawa mkubwa but sio yanga!
 
Hata kama ni kweli lakini huwezi kuepuka wachezaji kuwa wakubwa kuliko timu.
Mchezaji kama Mesi alikuwa mkubwa kuliko Barcelona.
Mchezaji wenu wa sasa Mayele ni mkubwa kuliko yanga.
 
Na pia ijapokuwa lazima mchezaji awe mtiifu kwa timu,lakini unapotokea mgogoro busara lazima itumike na sio ubabe mnaowaonesha wachezaji.
Ukweli ni kwamba mmewatisha ngojeni waanze kuuza mechi kweli
 
Nataka niwaambie kuwa,kauli za kibaguzi za mhandisi Hersi,kiburi cha pesa na nguvu ya wanasiasa walio nyuma yake,dhidi ya wachezaji,ni mambo ambayo yameleta utisho wa wachezaji kutotamani kucheza yanga.

Zile kauli kuwa hakuna mchezaji aliye juu ya club,ziliwafanya washindwe kutumia busara kutatua migogoro,na badala yake kufanya mambo ya kuwatisha wachezaji.

Wakati mwingine kuwalaumu eti wameuza mechi,wakati sio kweli,hilo ni jambo linalowaumiza sana wachezaji na wengi wanapoteza kujiamini.

Kwa huyu rais ni suala la muda tu.Mtakuja kuumia na hamtasahau.
pumba
 
Kwa wenye umri mkubwa kama wangu watakumbuka sakata la David Beckham na kocha wake(Ferguson). Pamoja na umaarufu wa Beckham na kuwa na watetezi wengi/mashabiki na waandishi wa habari lakini haikumsaidia kumyumbisha Kocha na alikuja kuuzwa.
Nadhani Beckham angekuwa Yanga au Simba halafu Kocha wake amletee zengwe nadhani PANGECHIMBIKA.

Pia huyuhuyu Feisal apate timu Ulaya asaini halafu aseme hakujua kilichoandikwa, au aseme amechukia kwasababu Mtendaji Mkuu wa Timu amemdharau kutokupokea Simu.

Binafsi ninaamini Mungu hawezi kuruhusu Feisal afanikiwe katika Soka kwasababu ya KIBURI . HAIJALISHI ANA NGUVU GANI NYUMA YAKE INAYOMPA KIBURI

Chukueni maneno haya. NIMEKAA PALEE
 
Hata kama ni kweli lakini huwezi kuepuka wachezaji kuwa wakubwa kuliko timu.
Mchezaji kama Mesi alikuwa mkubwa kuliko Barcelona.
Mchezaji wenu wa sasa Mayele ni mkubwa kuliko yanga.
Yanga haijawahi kudekeza au kumuogopa mchezaji kwa sababu ya usupa star wake.
Nakumbuka katika vipindi tofauti, Yanga aliwafungia Mayele wake wa wakati huo bila kujali athari iliyokua inapata timu.
Kama uliwahi kuwasikia Makumbi Juma na Edgar Fungo walifungiwa kwa utovu wa nidhamu wakiwa ni wachezaji tegemeo. Na hawa hawakurudi tena kwenye fomu.
Msimamo kama huu alikua nao marehemu Yussuf Hazali Kiongozi wa Makolo.
 
Hata kama ni kweli lakini huwezi kuepuka wachezaji kuwa wakubwa kuliko timu.
Mchezaji kama Mesi alikuwa mkubwa kuliko Barcelona.
Mchezaji wenu wa sasa Mayele ni mkubwa kuliko yanga.
Wewe unaonyesha kabisa kwamba rage akukosea na ule msamiati wake, unajua yanga ilishafukuza timu nzima na ikapandisha vijana wakakiwasha? Au ulikuwa ujazaliwa? Yanga uwa ni timu yenye misimamo aiyumbishwi na mtu yeyote ata kama ni maarufu kiasi gani, ilifukuza nusu ya timu nzima tena wakiwa kwenye fomu kubwa na ikaanza upya, iyo biashara ya kulea lea ujinga iko uko simba sio yanga, mchezaji unapoota mapembe na kujiona mkubwa unaonyeshwa mlango wa kutokea haraka sana bila kujali umaarufu wako!
 
Kwa wenye umri mkubwa kama wangu watakumbuka sakata la David Beckham na kocha wake(Ferguson). Pamoja na umaarufu wa Beckham na kuwa na watetezi wengi/mashabiki na waandishi wa habari lakini haikumsaidia kumyumbisha Kocha na alikuja kuuzwa.
Nadhani Beckham angekuwa Yanga au Simba halafu Kocha wake amletee zengwe nadhani PANGECHIMBIKA.

Pia huyuhuyu Feisal apate timu Ulaya asaini halafu aseme hakujua kilichoandikwa, au aseme amechukia kwasababu Mtendaji Mkuu wa Timu amemdharau kutokupokea Simu.

Binafsi ninaamini Mungu hawezi kuruhusu Feisal afanikiwe katika Soka kwasababu ya KIBURI . HAIJALISHI ANA NGUVU GANI NYUMA YAKE INAYOMPA KIBURI

Chukueni maneno haya. NIMEKAA PALEE
Mungu au vile vizee vyenu?!!
 
Mungu au vile vizee vyenu?!!
Ni Mungu wa kweli. Hakuna mwenye Kiburi aliyefanikiwa. Yupo wa Ajibu, yupo wapi Sabaya, Yupo wapi Makonda, yupo wapi Kigwangala na pia tunamsubiria Diamond aliyemdhihaki Baba yake.

Feisal hata alipwe bilioni kwa mwezi, hata akingiwe kifua na wenye nguvu kama hatarudi kuwataka radhi mzee wa GSM na Hersi Saidi hawezi kufika mbali.
 
Hata kama ni kweli lakini huwezi kuepuka wachezaji kuwa wakubwa kuliko timu.
Mchezaji kama Mesi alikuwa mkubwa kuliko Barcelona.
Mchezaji wenu wa sasa Mayele ni mkubwa kuliko yanga.
Messi alikua mkubwa kuliko Barcelona?
 
Makolo mambo yenu yanawashinda mnajifariji kwa mambo ya Yanga
 
Back
Top Bottom