Kwaiyo kwa akili zako kuna mchezaji mkubwa kuliko timu? Labda uko kwenu umbumbuni ndio anaweza akawa mkubwa but sio yanga!Nataka niwaambie kuwa,kauli za kibaguzi za mhandisi Hersi,kiburi cha pesa na nguvu ya wanasiasa walio nyuma yake,dhidi ya wachezaji,ni mambo ambayo yameleta utisho wa wachezaji kutotamani kucheza yanga.
Zile kauli kuwa hakuna mchezaji aliye juu ya club,ziliwafanya washindwe kutumia busara kutatua migogoro,na badala yake kufanya mambo ya kuwatisha wachezaji.
Wakati mwingine kuwalaumu eti wameuza mechi,wakati sio kweli,hilo ni jambo linalowaumiza sana wachezaji na wengi wanapoteza kujiamini.
Kwa huyu rais ni suala la muda tu.Mtakuja kuumia na hamtasahau.
Mayele ni mkubwa kuliko Yanga,unabisha?Sasa Kuna mchezaji mkubwa kuliko timu?
Hata kama ni kweli lakini huwezi kuepuka wachezaji kuwa wakubwa kuliko timu.Kwaiyo kwa akili zako kuna mchezaji mkubwa kuliko timu? Labda uko kwenu umbumbuni ndio anaweza akawa mkubwa but sio yanga!
Na pia ijapokuwa lazima mchezaji awe mtiifu kwa timu,lakini unapotokea mgogoro busara lazima itumike na sio ubabe mnaowaonesha wachezaji.Hata kama ni kweli lakini huwezi kuepuka wachezaji kuwa wakubwa kuliko timu.
Mchezaji kama Mesi alikuwa mkubwa kuliko Barcelona.
Mchezaji wenu wa sasa Mayele ni mkubwa kuliko yanga.
pumbaNataka niwaambie kuwa,kauli za kibaguzi za mhandisi Hersi,kiburi cha pesa na nguvu ya wanasiasa walio nyuma yake,dhidi ya wachezaji,ni mambo ambayo yameleta utisho wa wachezaji kutotamani kucheza yanga.
Zile kauli kuwa hakuna mchezaji aliye juu ya club,ziliwafanya washindwe kutumia busara kutatua migogoro,na badala yake kufanya mambo ya kuwatisha wachezaji.
Wakati mwingine kuwalaumu eti wameuza mechi,wakati sio kweli,hilo ni jambo linalowaumiza sana wachezaji na wengi wanapoteza kujiamini.
Kwa huyu rais ni suala la muda tu.Mtakuja kuumia na hamtasahau.
Yanga haijawahi kudekeza au kumuogopa mchezaji kwa sababu ya usupa star wake.Hata kama ni kweli lakini huwezi kuepuka wachezaji kuwa wakubwa kuliko timu.
Mchezaji kama Mesi alikuwa mkubwa kuliko Barcelona.
Mchezaji wenu wa sasa Mayele ni mkubwa kuliko yanga.
Wewe unaonyesha kabisa kwamba rage akukosea na ule msamiati wake, unajua yanga ilishafukuza timu nzima na ikapandisha vijana wakakiwasha? Au ulikuwa ujazaliwa? Yanga uwa ni timu yenye misimamo aiyumbishwi na mtu yeyote ata kama ni maarufu kiasi gani, ilifukuza nusu ya timu nzima tena wakiwa kwenye fomu kubwa na ikaanza upya, iyo biashara ya kulea lea ujinga iko uko simba sio yanga, mchezaji unapoota mapembe na kujiona mkubwa unaonyeshwa mlango wa kutokea haraka sana bila kujali umaarufu wako!Hata kama ni kweli lakini huwezi kuepuka wachezaji kuwa wakubwa kuliko timu.
Mchezaji kama Mesi alikuwa mkubwa kuliko Barcelona.
Mchezaji wenu wa sasa Mayele ni mkubwa kuliko yanga.
Mungu au vile vizee vyenu?!!Kwa wenye umri mkubwa kama wangu watakumbuka sakata la David Beckham na kocha wake(Ferguson). Pamoja na umaarufu wa Beckham na kuwa na watetezi wengi/mashabiki na waandishi wa habari lakini haikumsaidia kumyumbisha Kocha na alikuja kuuzwa.
Nadhani Beckham angekuwa Yanga au Simba halafu Kocha wake amletee zengwe nadhani PANGECHIMBIKA.
Pia huyuhuyu Feisal apate timu Ulaya asaini halafu aseme hakujua kilichoandikwa, au aseme amechukia kwasababu Mtendaji Mkuu wa Timu amemdharau kutokupokea Simu.
Binafsi ninaamini Mungu hawezi kuruhusu Feisal afanikiwe katika Soka kwasababu ya KIBURI . HAIJALISHI ANA NGUVU GANI NYUMA YAKE INAYOMPA KIBURI
Chukueni maneno haya. NIMEKAA PALEE
Morrison ni mkubwa kuliko UTO.Kwaiyo kwa akili zako kuna mchezaji mkubwa kuliko timu? Labda uko kwenu umbumbuni ndio anaweza akawa mkubwa but sio yanga!
Ni Mungu wa kweli. Hakuna mwenye Kiburi aliyefanikiwa. Yupo wa Ajibu, yupo wapi Sabaya, Yupo wapi Makonda, yupo wapi Kigwangala na pia tunamsubiria Diamond aliyemdhihaki Baba yake.Mungu au vile vizee vyenu?!!
Messi alikua mkubwa kuliko Barcelona?Hata kama ni kweli lakini huwezi kuepuka wachezaji kuwa wakubwa kuliko timu.
Mchezaji kama Mesi alikuwa mkubwa kuliko Barcelona.
Mchezaji wenu wa sasa Mayele ni mkubwa kuliko yanga.