Magema Jr JF-Expert Member Joined Apr 22, 2020 Posts 1,299 Reaction score 1,197 Nov 24, 2020 #1 Tafadhali Naomba mwenye maono na uelewa mpana juu ya neno hili "club" kama linavyotumika .. xie xie =ahsante #jr
Tafadhali Naomba mwenye maono na uelewa mpana juu ya neno hili "club" kama linavyotumika .. xie xie =ahsante #jr
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,539 Reaction score 11,419 Nov 25, 2020 #2 Magema Jr said: Tafadhali Naomba mwenye maono na uelewa mpana juu ya neno hili "club" kama linavyotumika .. xie xie =ahsante #jr Click to expand... 1. Sehemu watu wanakutana kwa ajili ya kunywa, ubadilishane mawazo n.k. 2. Taasisi yenye wanachama, wanapitia uanachama na wana lengo fulani katika umoja wao.
Magema Jr said: Tafadhali Naomba mwenye maono na uelewa mpana juu ya neno hili "club" kama linavyotumika .. xie xie =ahsante #jr Click to expand... 1. Sehemu watu wanakutana kwa ajili ya kunywa, ubadilishane mawazo n.k. 2. Taasisi yenye wanachama, wanapitia uanachama na wana lengo fulani katika umoja wao.
Ngareroo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2019 Posts 2,123 Reaction score 2,449 Nov 25, 2020 #3 Club ya mpira wa miguu ya Stand United Jana ilikua Club
AKILI TATU JF-Expert Member Joined Feb 10, 2016 Posts 2,659 Reaction score 2,827 Nov 25, 2020 #4 Tofauti..inakuja unatumia cha na ya.. Mfano. Klabu cha mpira (team) Klabu ya pombe (bar n.k)