Maana halisi ya Bangi..

Maana halisi ya Bangi..

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Weng mlikua hamjui maana ya neno bangi sasa leo ngoja niwape maana yake halisi.

Bangi ni jani la mgomba linalochanua kwenye mbuyu kupitia treni kabla hujaumwa kwenye mafuta ya samaki na kupokea injini ya baiskeli iliyopita angani na mvua ikawaka jua.

Ahsanteni sana na wakilisha
 
Wenzako huwa tunashiba halafu ndio tunavuta
 
Kunayo namna, umekula kijiti cha wapi mkush!?
 
Aisee, si ungepumzika kutumia hiyo kitu mwezi mtukufu huu, ona sasa inavyokufanya😀😀😀😀😀
 
Mmmm Aise kafundishe UVCCM...ndo wataelewa zaidi...umetisha
 
Back
Top Bottom