Maana halisi ya Bangi..

Umenikumbusha nilipokuwa daktari Milembe
 
jombaa ubongo umeevaporate
 
Mi huwa bangi naiunga kwa nazi nakula na ugali kama mboga vile, na zile mbegu zake huwa nazigandisha kama ufuta, lakini haijawahi kunifanya hivyo, au ulivutia chooni[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 

Bangi unayovutaga unanunuaga nchi gani mbona ni kali hivo?
 
hahaha kumbe we nae ni member
 
Hahahaha! Aisee hiyo kweli bangi kama ugali mlangoni ukakalia bati maana sidhani kama ulikuwa umeangalia CNN kabla idondoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…