2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Niliandika makala kadhaa hapa nikaonekana chizi, mara CCM, kumbe sina hata chama.
Mm niliacha siasa baada ya Lowassa kukubali matokeo, bila action wala tamko wakati 2015 Watanzania walikua tayari kwa lolote.
Miaka 5 imepita JPM kajitahidi kurudisha mioyo ya watu na kufanya mengi watu wamkubali.
Kwa mambo aliyoyafanya kwa miaka 5 tu yawe mazuri na mabaya yake ilikuwa ni lazima ashinde tena hata bila kampeni. Wapinzani mmeelewa?
Kwa hiyo kufanya kampeni ilikua ni kama kukamilisha tu ratiba sababu tume inataka hivyo.
Hongera Magufuli japo inauma lakini hatuna ujanja wa kukutoa kabisa hata ukiwa kama M7 hakuna wa kukwambia kitu.