Maana halisi ya "If you do me, I do you", tukutane Mahakamani

Hivi ndio viwanja vya mchongo, mnauziwa kiwanja kimoja zaidi ya watu wawili, anayewahi kujenga ndio mshindi, akitokea mbishi naye anakupiga ukuta.
 
Hapa Sasa ndio uhasama Kati ya majirani huanzia..

Unakuta majiran hamsalimiani Ila watoto wenu wanacheza pamoja hahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…