Eti ni bas wanalogawa biscuit na soda 😅😅😅View attachment 1780996
1. Je ni hizo huduma hapo ☝️ au ni upya wa basi?
2. Basi la zamani lenye vigezo hivyo huu au basi lolote jipya?
Ikitokea huduma tajwa hapo ikakosekana kwenye gari na kiwango cha nauli umelipia luxury abiria anasaidiwaje au achukue hatua gani?.
EWURA au LATRA(mtanisahihisha) wanatumia kigezo gani kugawa haya madaraja?
Wajuvi tusaidiane hapo☝️
Hao wekundu umewasingizia, wanaohusika ni SUMATRAEWURA au LATRA(mtanisahihisha) wanatumia kigezo gani kugawa haya madaraja?
Yote ni semi luxury na ordinary hakuna luxury TanzaniaMagari yapo sana ubungo
Shabiby, Tahmeed ya mombasa, Dar luxy ya Arusha Nk.
1.Ordinary
2.Semi-luxury
3.Luxury
Na Basi iliyoandikwa UPPER CLASS?Magari yapo sana ubungo
Shabiby, Tahmeed ya mombasa, Dar luxy ya Arusha Nk.
1.Ordinary
2.Semi-luxury
3.Luxury
Yote ni semi luxury na ordinary hakuna luxury Tanzania
Hao wekundu umewasingizia, wanaohusika ni SUMATRA
Na Basi iliyoandikwa UPPER CLASS?
Na Basi iliyoandikwa UPPER CLASS?
Ni lile limekaa kama mgobole linatoka kwa supika ndugu yai kwenda DarJana nimepanda basi moja na kuku.
Ni hilo hilo mkuu,kama ulikuepo eneo la tukio vile.Ni lile limekaa kama mgobole linatoka kwa supika ndugu yai kwenda Dar
Luxury bus ni basi lenye huduma za anasa yaani luxury. Upya wa basi sio suala la lazima. Not necessary!
Huduma za anasa ni kama vile; Wi-Fi, kiyoyozi (AC), chakula na vinywaji, runinga, kitanda cha kulala, maliwato n.k.