If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!Habari wana jamii
Hii methali ya kiingeleza " If you don't them join them. Hii inamaana kwamba ukiona unayegombana nae amekuzidi nguvu; kete au mbinu na kila kitu huna haja ya kunyoosha mikono juu na kujisalimisha au kutimua mbio bali yakufaa kuomba msamaha na kuwa rafiki yake na kuungana nae. Ukijifanya nunda au mjuaji utapigwa kwa aibu na kufa kifo cha aibu.
Hiki ndo kitu kinachofanyika kwa sasa hapa nchi kwa upande wa siasa. Vyama vya upinzani vikiongozwa na CHADEMA vimeanza kutekeleza huu msemo kwa chama kongwe chama kisiki CCM.
Leo hii tunaona viongozi wengi wa upinzani madiwani kwa wabunge wakikimbilia CCM kwa sababu mbali mbali kuu kubwa ikiwa ni ile ya kumuunga mkono Mh. Rais kwa kazi anayoifanya.
Wapinzani bado nawakumbusha tu kwa bure: If you don't beat them join them.
Hao ndio makada wa ccmKabla ya yote, kamuulize aliyekuambia huo msemo kama ndivyo unavyoandikwa au ni wewe mwenyewe ndio umetunga yako?
Teheheheh mzazi aliuza mahindi na mpunga akijua mtoto amesoma na kufaulu, kumbe alikuwa anasomesha "bata mzinga" seikoko.
Pitia upya post yako neno baada ya neno utuambie umegundua nini.
Kwa uchumi Upi wabadili katiba?siku wakiua vyama vingi ni kukaribisha udikiteka kamili....misaaada lazima ikaeteBadilisheni katiba kibaki chama kimoja kama korea kaskazini sio dhambi.