Maana halisi ya neno demu

Maana halisi ya neno demu

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Kwa mujibu wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), limeeleza kwamba neno demu lina maana ya nguo ya zamani inayofungwa na wanawake kichwani, kiunoni wakati wa kufanya kazi ngumu.

unnamed.png
 
kwani demu ni kiswahili?
Demu ni kiswahili
Dame ni Am/Eng lenye maana msichana ambaye hajaolewa
Dam ni Br/Eng lenye maana bwawa

Sasa kwa sababu weng wetu tumesoma kuhusu mabwawa (Dams) basi tumeishia kutoa maana tuliyoizoea (dem=bwawa)
Na hata wasichana wetu weng wao hawataki kujua hiyo "Dame", wao wamekariri tu kuwa tunawadhihaki kuwaita bwawa in english form[emoji1]
 
Kwa mujibu wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), limeeleza kwamba neno demu lina maana ya nguo ya zamani inayofungwa na wanawake kichwani, kiunoni wakati wa kufanya kazi ngumu.

View attachment 2005549
Kwetu demu ni nyapu, na nyapu ni tekude, na tekude ni ndaza, na ndaza ni kimshempereo na tunakishemperea hadi kinasema yalllllllaaaaaaaaaaahhhh
 
Si kweli bhanaa demu lilitokana na neno MADAME/MADAM vijana enzi hizo ndio wakafupisha na kuita demu/dem,japo kwa kizazi chetu vijana mnaitafsiri vibaya kiasi kwamba hata mimi ukiniita demu nakumind...
 
demu - ni tambara la kufutia miguu mlangoni.............tutofautishe hapo......mleta uzi hajakosoea....ila tunaopenda kuiga iga lugha za watu...na hii haina uhusiano na DAME.......hii ndio utamu ulipo.....ile DEMU .....tupa kuleeeeee
 
Kila mtu atakuja na utohoaji wake hapa mara limetokana na DAME, MADAME au DAM. Anayelitumia ndiye ajuaye anamaanisha nini hasa ya kumwita mwanamke flani demu.
 
Back
Top Bottom