Maana halisi ya Rastafari

Ndiyo mkaamua kumuita jah, kwa mchango wake tu?
Kwahiyo "wasauz" wakiamua kumuita Madiba, Jah kwa mchango wake kwao ni sawa tu?
 
Kwa mujibu wa bibilia; ndiyo.
Ni nafsi ya pili ya mungu.
Remember the holy trinity?

GABRIEL HAILE SELASIE aliyekuwa kiongozi wa nchi ya Ethiopia ni moja kati ya watu waliochangia kukuza imani ya Rasta ulimwenguni na ndipo jumuiya ya Rastafariani ilipoamua kumteua kuwa kiongozi wa Rastafarian ulimwenguni.
 
Ndiyo mkaamua kumuita jah, kwa mchango wake tu?
Kwahiyo "wasauz" wakiamua kumuita Madiba, Jah kwa mchango wake kwao ni sawa tu?

Mkuu Rastafari duniani inataratibu zake kama zilivyo imani zingine,
 
Kwanza hujaweka full wikipedia ya asili neno Jah,ukifatilia historia ya Haile utaona mpaka anakufa alikuwa muumini wa Ethiopian Orthodox na alitumia bible ileile inayotumiwa na christian na kuna kituo kimoja cha redio Jamaica kilishamquote akiwa exile kwamba yeye ni mtu kama wengine,yeye sio Mungu na anaamini katika Jesus,japokuwa wapo marasta wanamchukulia kama Mungu..
Swali je yeye ni mungu anaeamini katika christian bible,anaitumia,yeye ni mungu aliekuwa anasali katika kanisa la orthodo?,inakuaje hapo?
Wakati Lucky Dube anatoa album ya Respect katika wimbo wake wa Shembe is the way aligusia watu wanaodai yeye hana dini,haamini katika chochote akawajibu Shembe is my way(christian church in S.A)..
Mwisho wa siku utaona Rastafari ni ile total way of life..
 
Mnajichanganya sana nyie.
Wenzako wanamuita mungu we hutaki.
Kama hilo bandiko la wikipedia ni la uongo weka wazi hapa.
Kisha niambie Haile Selassie I ni jah au siyo jah?
 
Mnajichanganya sana nyie.
Wenzako wanamuita mungu we hutaki.
Kama hilo bandiko la wikipedia ni la uongo weka wazi hapa.
Kisha niambie Haile Selassie I ni jah au siyo jah?
Sijui umeelewa nilichoandika au ndio unatafuta ligi,pitia tena nilichoandika hakuna anaejichanganya kama umemsoma vizuri mleta uzi na nilichoandika hakuna panapochanganya...
 
Sijui umeelewa nilichoandika au ndio unatafuta ligi,pitia tena nilichoandika hakuna anaejichanganya kama umemsoma vizuri mleta uzi na nilichoandika hakuna panapochanganya...

Jibu swali la mwisho basi. Haile Selassie ni Jah au siyo Jah?
 
eeh napita naona mambo magumu kidogo humu ndani
 
Ok, mtazamo wako huo.
Sass unawazungumziaje wale wanaom-regard kama "jah rastafari I & I?
'The way of life',Upendo,Amani na Umoja hiyo ndio Rastafarian ndani ya mtu mkuu,tunaamini kwa majina mengi but we mean the same,issue ni kujitambua kuwa unaamini katika Usahihi...
 
Je imani ya freemason ni halali kama zilivyo imani zingine?...! yaani kama uislamu,ukristo,rastafary n.k
 
Je imani ya freemason ni halali kama zilivyo imani zingine?...! yaani kama uislamu,ukristo,rastafary n.k

Hebu ielewe freemanry hapa chini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…