Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Hii jamii ya hawa watu ni wanafanya kazi kwa bidii kubwa unaweza jiuliza miili yao haina hali ya kuchoka.
Ni nini shinikizo lililo nyuma yao katika ufanyaji kazi kwa bidii ya hali ya juu.
Si ajabu kuona maendeleo ya kasi isiyoelezeka ya nchi yao hasa katika miundombinu.
Wachina ni wafanya kazi haswa si wazembe wazembe ni kama sarafu ilivyo na pande mbili kichwa na mwenge kama ni muajiriwa wa wachina iwe kwenye ujenzi wa miundombinu au viwanda unaweza wapenda na unaweza wachukia kwa tabia yao hii jinsi wanavyo enenda mambo yao.
Nime bahatika kufanya kazi na hii jamii hasa zinazowaleta zaidi hapa nchini jambo moja lililojifunza kwao ni kama utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii upo katika jamii nzima za wachina maana hata maboss ilikuwa ngumu kuwagundua na kuwatofautisha na wafanyakazi, site wote mtakuwepo na kazi si ajabu boss kumuona akifanya hii ni tofauti kubwa na sisi huku kwetu.
Kwao wana utaratibu maalum wa kufanya kazi unatambulika kama illegal unaitwa 996 hasa unafanya kazi katika makampuni mbalimbali.
Tafsiri nyepesi unafanya kuanzia 9a.m - 9p.m siku 6 katika juma makampuni mengi hutumia huu utaratibu ni utaratibu unao onekana wa kinyonyaji lakini ndio chagizo la mapinduzi ya muda mfupi wa uchumi wa China jambo ambalo hakuna nchi yoyote imewahi kufanya.
Jambo la ajabu kwangu hawa watu ni heavy smokers sijapata kuona sijawahi kutana mchina ambaye sio heavy smoker au sio smoker kabisa.
Jambo linalo wakera wachina ni uzembe, wizi, likizo na ruhusa zisizo kwisha, muda wa kazi kupiga story walikuwa hawapendi kabisa.
Umewahi kufanya kazi na hawa wachina nini experience yako ?