SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Kama kwenu mlikuwa na moja kati hivi vitu basi bila shaka wewe ni wa kishua (familia bora).
- Dishi kubwa jeusi la nyavu
- King'amuzi cha Multichoice (M decoder)
- Gameboy (Nintendo)
- Video game(Nintendo or Sema mega drive)
- walkman disk
- Music system ya CD
- Deki ya kaseti(VHS)
- TV ya chogo (Sharp, JVC,Toshiba)
- Simu ya mezani (landline)
- Gari(Mitsubishi au Musson)
- Kengele getini
- Raba za kuwaka taa