Raba kuwaka taa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kama kwenu mlikuwa na moja kati hivi vitu basi bila shaka wewe ni wa kishua (familia bora).
List ni ndefu, Ongezea na wewe
- Dishi kubwa jeusi la nyavu
- King'amuzi cha Multichoice (M decoder)
- Gameboy (Nintendo)
- Video game(Nintendo or Sema mega drive)
- walkman disk
- Music system ya CD
- Deki ya kaseti(VHS)
- TV ya chogo (Sharp, JVC,Toshiba)
- Simu ya mezani (landline)
- Gari(Mitsubishi au Musson)
- Kengele getini
- Raba za kuwaka taa
View attachment 2464646View attachment 2464647View attachment 2464648View attachment 2464649View attachment 2464652View attachment 2464653View attachment 2464655View attachment 2464656View attachment 2464657View attachment 2464658View attachment 2464659View attachment 2464660
SEGA MEGA DRIVEKama kwenu mlikuwa na moja kati hivi vitu basi bila shaka wewe ni wa kishua (familia bora).
List ni ndefu, Ongezea na wewe
- Dishi kubwa jeusi la nyavu
- King'amuzi cha Multichoice (M decoder)
- Gameboy (Nintendo)
- Video game(Nintendo or Sema mega drive)
- walkman disk
- Music system ya CD
- Deki ya kaseti(VHS)
- TV ya chogo (Sharp, JVC,Toshiba)
- Simu ya mezani (landline)
- Gari(Mitsubishi au Musson)
- Kengele getini
- Raba za kuwaka taa
View attachment 2464646View attachment 2464647View attachment 2464648View attachment 2464649View attachment 2464652View attachment 2464653View attachment 2464655View attachment 2464656View attachment 2464657View attachment 2464658View attachment 2464659View attachment 2464660
game boy advance mkuu ata mimi nilikuwaga nalo ni mzuka mwingi yaniTulikaa na waarabu wa kishua walikuwa na game boys ila sio izo walikuwa na model zile za katuni kabisa game kama spider man ,ninja ,magari ,Zina mission kabisa.
Utakosaje wewe mtoto wa Mkadini. Au Mtwara Crescent?Daaah, Sega-Mega Drive 2, Nintendo Game Boy, Walkman Disk, Mitsubishi, viliwahi kuwepo home na sijui hata vilitoka wapi maana hatukuwa wakishua hata kidogo...
Na ukitembea muda wote unaichungulia kama bado inawaka au imezinguaRaba kuwaka taa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]