Nasri A Kulemba
Member
- Oct 16, 2015
- 20
- 56
Pre Season …Maana na maelengo yake …twende pamoja unaweza kupata kitu .
kalamu ya Nasri Kulemba[emoji3578]
Pre season ..mafunzo ya kabla ya msimu ..au mazoezi ya kujianda na msimu mpya ..
Ni vyema tukajua maana na pre season na malengo yake ..ila kabla sijaenda mbali nataka niwakumbushe kitu kimoja .. Maandalizi haya au mpango huu sio lazima uwende nje ya nchi .. na wala haijawahi kuwa ni sheria ..
Unaweza kuuliza kwanini timu nyingi za ulaya hutumia kipindi hichi cha maandalizi kutoka nje ya taifa husika ..jibu ni lahisi ;wenzetu hutumia kipindi hichi kibiashara,kuinyanyua logo ,kutafuta washabiki na wanachama wapya na vile vile kuuza jezi .
Man united kwenda Australia sio kusema kule kuna vilabu bora so wanaenda kujipima ubavu ..la hasha kwanini wasingeenda ujerumani kucheza na dortmund ..?? jibu ni rahisi wakati huu huwa kwao ni makhsusi kwa ajili ya kujipanua kibiashara .
Kama utatumia lengo hilo la pili sio vibaya kwasababu timu nyingi zinahitaji uwekezaji na wawekezaji .
Lakini sio lengo mama la pre season au mafunzo ya kabla ya msimu …naomba ieleweke hivyo .
Kwanini vilabu huweka kambi kwenye kipindi cha mapumziko ya michezo .[emoji3578]
kwanza ni kuwaweka utayari wacheza ,kuwandaa kisaikolojia na vile vile kuiweka miili sawa kutokana ya wachezaji kuwa na mapumziko binafsi .
Kuna hatua tatu muhimu unazotakiwa upitie ukiwa ndani ya kipindi .(The period au pre season )[emoji3578]
kipindi cha maandalizi ..( preparation period )[emoji3578]
Eneo hili ni muhimu sana,na ndio msingi hasa wa kuweka kambi..mikakati ya timu kuelekea msimu mpya hufanyiwa kazi eneo hili ..hapa benchi la ufundi linatakiwa liwe limekamilika ..
Mafunzo ya kabla ya msimu huimarisha misingi yako ya siha na husaidia kufanya upya na kuboresha uwezo wako wa kiufundi kuelekea msimu ujao..
Hapa kocha hutumia kuwajenga wachezaji kimwili,nguvu na misuli ( basic indurence ,stamina and speed ) .. yaaani physical ability na technical ability.
Kisha anatakiwa asome ripoti ya kipi kilikua ni tatizo kwenye timu yake msimu ulioisha (madhaifu ) kama ni wachezaji binafsi hawakuwa kwenye ubora basi hutumia kipindi hichi kuboresha ufundi wao ..
Tatizo la falsafa hutumia kwa timu nzima ,yaani mbinu na mifumo .. (group tactics )wachezaji namna watakavyokua na uwelewa katika kutekeleza mifumo ya mwalimu .. yaani ufundi wa mawasiliano (communication skills) na muunganiko (team organization) . eneo hili ndio eneo mama ..
@ competition period (kipindi cha ushindani .. kumbuka pre season kwa kitaaluma hufahamika kama The Period .[emoji3578]
Sasa wakati huu utumika zaidi pale ambapo wachezaji wameshapewa mbinu za kiufundi,sasa kunachobakia mwalimu kutafuta timu ya kucheza nayo ili aangalie ni namna gani wachezaji wameelewa mbinu zake … hapa unaweza kutafuta timu yeyote hata ya vijana ..
Baada ya hapo mnarudi kufanyia kazi kile ambacho umekibaini kwenye mchezo .. hasa mapungufu ..
@ circle period .. [emoji3578]
Hichi ni kipindi ambacho huwa kinafanyiwa kazi hata kama ligi imeshaanza au ndani ya mashidano rasmi …na hii ni kutokana na kuona makosa au kujifunza mpango wa mchezo kutokana na game ijayo … hili eneo ni endelevu .
N.B …
Wakati unafanya Pre season ifanye kwa malengo yanayotokana na mapungufu ya timu yako ..tumia kipindi hichi kuimarisha timu kimbinu na falsafa ..
Namna utakavyotoka huku ndivyo wachezaji wako watakavyokua … labda upate bahati ya kuwa na wachezaji wengi ambao wanauwezo wa mbinu za kiufundi ..
Instagram nasrikulemba