Ninavyoelewa origin ya neno hayati ni kwenye lugha ya Kiarabu ambalo tafsiri yake kwa lugha ya Kiingereza ni my life. Lakini kwa mujibu wa dictionary ya Kiingereza neno hayati linatumika zaidi in an affectionate way usually towards someone who means a lot to you. Kwa mfano, Goodbye my life ni sawa na Goodbye my Hayati.
Kwenye Kiswahili, neno hayati huwa linatumika zaidi kwa mtu ambaye ni marehemu. Je, lina maana sawa na ile maana ya Kiarabu? Ni marehemu wa aina gani wanaostahili kuitwa hayati?
Hayati kwa kiarabu kwa asilimia kubwa ni kama ulivyo lielezea,na mara nyingi katika nyimbo za kiarabu utasikia kitu kama "anta hayat" na katika lugha kuna mambo mawili huwa yanagongana sana nayo ni tafsiri na maana.Sasa kwa waarabu kumwambia mtu 'anta hayat' ni kumaanisha wewe ndio kila kitu kwangu...au anaweza kuwa kafurahishwa na mpenzi au hata mtoto wake akamkumbatia na kumwambia 'Hayatiiii'
Tukirudi katika swali lako,nadhani katika kiswahili tulipokea vibaya na ndio pale tunapomuelezea marehemu tunatumia neno hayati,ni kiwa na maana waswahili tunasema,hayati Babu yetu,hayati kaka yetu kwa marehemu,labda kwa kuongezea tu hata Waturuki wana tumia neno Hayati,mfano mtu anapokufa wanasema 'hayati kaibet'..sidhani kama kuna marehemu anaye stahili na asiye stahili kuitwa Hayati kwa sisi waswahili
Kwa kumalizia labda niongezee kuwa katika lugha wakati mwingine baadhi ya maneno huwa yanazaliwa kwa kupokea vibaya mfano hai ni neno MELI.

Asante Mkuu kwa ufafanuzi. Kwa hiyo kwenye lugha ya Kiswahili hayati inaweza kutumika kwa marehemu yoyote, na sio tuu kwa "waheshimiwa" kama mchangiaji mmoja aliposema hapo juu? Maana wengi tunadhani kuwa "hayati" huwa inatumika zaidi kwa viongozi au watu waliotoa mchango mkubwa kwa jamii na "marehemu" kwa kila mtu.
Kwa kiswahili cha Tanzania Hayati limetumika kisiasa zaidi. Huwatambulisha Marehemu ambao katika uhai wao walikuwa na mchango mkubwa na tena maarufu kwa jamii. Mifano ni baadhi ya viongozi wakuu wa kabila waliopambana vikali kuupinga ukoloni, viongozi walioshiriki kwa namna mbalimbali harakati za kudai uhuru wa Tanganyika, Zanzibar, na wale waloshika uongozi wa Taifa ngazi za juu. HaaMifano ni Hayati Chifu Mkwawa, Hayati Seti Benjamin, Hayati Abedi Amani Karume, Hayati Moringe Sokoine, Hayati Julius Kambarage Nyerere, nk.
Hayati inatakiwa itumike kwa kila mfu mwanadamu na kwa aliye hai,kama wewe ni islamic kuna aya inasema(Fih hayati dunia wal akhera)sina hakina na spelling.Hii inamaanisha kwamba kuna hayati wa duniani na hayati wa akhera.Ninavyoelewa origin ya neno hayati ni kwenye lugha ya Kiarabu ambalo tafsiri yake kwa lugha ya Kiingereza ni my life. Lakini kwa mujibu wa dictionary ya Kiingereza neno hayati linatumika zaidi in an affectionate way usually towards someone who means a lot to you. Kwa mfano, Goodbye my life ni sawa na Goodbye my Hayati.
Kwenye Kiswahili, neno hayati huwa linatumika zaidi kwa mtu ambaye ni marehemu. Je, lina maana sawa na ile maana ya Kiarabu? Ni marehemu wa aina gani wanaostahili kuitwa hayati?
Hapo unaweza kuonisha vipi na Steven Kanumba kuitwa hayati?
Hayati inatakiwa itumike kwa kila mfu mwanadamu na kwa aliye hai,kama wewe ni islamic kuna aya inasema(Fih hayati dunia wal akhera)sina hakina na spelling.Hii inamaanisha kwamba kuna hayati wa duniani na hayati wa akhera.
Ila kwa taratibu za kibinadamu aliye hai huwezi kumuita hayati ingawa aya hii inamaanisha kwamba aliye hai ni hayati mtarajiwa bila kujari kipato chake.
So ata wewe hata kama unaishi under $1 per day ukifa inatakiwa tukuite"hayati EMT"
Yea, Uarabuni mtu anaweza kuitwa Hayati kama first name. Ni jina kama majina mengine tuu. Lakini lugha ya Kiswahili sidhani kama unaweza kumwita mtu hai Hayati.