Maana/Tafsiri ya Neno Mfawidhi

IshaLubuva

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2008
Posts
250
Reaction score
11
Neno Mfawidhi hutumika kwenye nyadhifa ya baadhi ya Weledi kama vile za Utabibu kuwa Waganga/Wauguzi Wafawidhi, kwenye Sheria kuna Jaji Mfawidhi, n. k. Nimeangalia kwenye Kamusi ya Tuki wametoa maana ambayo nimeshindwa kuihusisha na nyadhifa nilizozitaja hapo juu.

mfawidhi nm wa- [a-/wa-] (jeshini) quarter master: ~ wa sherehe master of ceremony.

Mwenye kujua maana na/au tafsiri ya neno Mfawidhi anifafanulie
 
Sasa kama TUKI ujawaelewa, kuna wataalam nje ya hao utakao waelewa kweli!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…