Maana ya Bangi

Maana ya Bangi

Papupi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
2,028
Reaction score
3,241
Wengi mlikua hamjui maana ya neno BANGI, Sasa leo ngoja niwape Elimu kidogo kuhusu hii kitu.

*BANGI* ni jani la mgomba linalochanua kwenye mbuyu kupitia treni kabla hujaumwa kwenye mafuta ya samaki na kupokea injini ya baiskeli iliyopita angani na mvua ikawaka juu ya jua.
Asanteni kwa kunielewa..!!

Sasa hii ndo Bangi

[emoji377][emoji377]
 
Mangi haina utofaut na tumbaku....vuta kistaarabu
 
Mmmh! Hio ulovuta ww itakua ni Mbegu ya Marijuana kabisa... ...
 
Back
Top Bottom