NIlikuwa nasikia tu neno Boko Haramu lakin sijui maana yake. Kumbe Boko Haramu maana yake ni "Western education is sinful".
Kumbe ndiyo maana wafuasi wake na wapenzi wake, na washabiki wake, na waumini sawa na hawa Boko Haramu kwao elimu ni kama moshi na jicho.
Sasa, ukichukia elimu ya wazungu wakati ndiyo inayofanya wengi muonekane wasomi, utalalamikaje kwamba wenye kufanana na Boko haramu wana alimu duni??????????!!!!!!!!!!!