Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 130
Huenda ni kweli hiyo tafsiri ya Kiingereza, maana mikoa yote hapa nchini ina BOMA, ambapo ilikuwa ni makao makuu ya serikali za wakoloni, mainly Mwigereza na Mjerumani.Mimi ni mmoja kati ya wale wanaoamini kwamba neno BOMA ni neno la kiswahili na ni nyumba zilizojengwa kwa kuzunguka kama uzio hivi. Nimekutana na mzee mmoja wa zamani akaniambia kwamba neno BOMA ni ufupisho wa maneno ya kiingereza "British Oversease Management Agency" wazee wa zamani mlio humu JF tufanyieni clarification ya hii, je ni kweli?
huenda ni kweli hiyo tafsiri ya kiingereza, maana mikoa yote hapa nchini ina boma, ambapo ilikuwa ni makao makuu ya serikali za wakoloni, mainly mwigereza na mjerumani.
lakini, ukiacha tafsiri zote za hapo juu, kwa mikoa mingine kama arusha, boma ni nyumbani kwa mtu yoyote, kwa maana kwamba alijenga na anaishi hapo na familia yake, na panaitwa hivyo kwa kutambua heshima yake zaidi katika jamii inayomzunguka.
au kwa sehemu nyingine wanaita mji wa fulani.
Huenda ni kweli hiyo tafsiri ya Kiingereza, maana mikoa yote hapa nchini ina BOMA, ambapo ilikuwa ni makao makuu ya serikali za wakoloni, mainly Mwigereza na Mjerumani.
Lakini, ukiacha tafsiri zote za hapo juu, kwa mikoa mingine kama Arusha, Boma ni nyumbani kwa mtu yoyote, kwa maana kwamba alijenga na anaishi hapo na familia yake, na panaitwa hivyo kwa kutambua heshima yake zaidi katika jamii inayomzunguka.
Au kwa sehemu nyingine wanaita MJI wa fulani.