Kwa wale wanasheria najua mnaelewa vizuri sana maana ya neno hilo hapo juu.Constitutionalism is to rule or govern a country or state based on the Constitution (WE People). Ndani yake kuna vitu vizuri vinavyotakiwa kufuatwa na kutekelezwa kikamilifu.. Kuna, rule of law/utawala wa sheria, observation of human rights, independence of judiciary, separation of powers, freedom of speech nk. Je, hapa kwetu Tanzania, is constitutionalism alive?! Tufunguke ili tupime Kama tuna umuhimu wa katiba mpya au LA.. Ahsanteni