Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Hiyo 10% niyaserikali mkuuMakampuni mengi yenye leseni ya huko hayana njaa, kumpa mteja bonus mteja laki 4 hayaoni kazi.
Vilevile hayana shida ya kumkata mteja 10% ya ushindi wakati kazi yenyewe ngumu hii.
Ndio maana wanachukua leseni huko Curacao kwa ajili ya kuoperate kimataifa kwa sababu masharti ni madogo sana.Hiyo 10% niyaserikali mkuu
Yes ukichukua lesini Ya tanzania nilazima mteja akatwe 10% na kampuni kama kampuni mnakatwa 30%Ndio maana wanachukua leseni huko Curacao kwa ajili ya kuoperate kimataifa kwa sababu masharti ni madogo sana.
Ila wakifika nchi za shithole serikali zinawabana watoe ten percent kwa washindi.
1xbet ilikuwaga free na wao siku hizi wanatoza.