OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Je umewahi kujiuliza Furaha ni nini? Je umewahi kuwa na furaha? Ilikuaje ukawa na furaha? Je unakumbuka nini siku ile ulipopata matokeo yako ya kidato cha nne ? Bila shaka ulihabarishwa kuwa umefaulu na unatakiwa kujiunga na chuo au kuendelea na kidato cha tano, bila shaka ulipata Furaha kubwa
Basi usipate tabu ni tadadavua Maana na dhana nzima ya Furaha,
Furaha~ ni hali unayoipata baada ya kupata unachokitaka au ulichokuwa ukikisubiria au kukitegemea kukipata ktk muda flani.

- Mfano ukifaulu mtihani unafurahi
- Wewe kama ni shabiki wa simba, simba ikimfunga Yanga unafurahi
- Ukifanya interview ukahabarishwa kuwa umepata lazi unafurahi
- Ukibet ukashinda unafurahi n.k
Je baada ya kupata ukitakacho (kuwa na Furaha) furaha hukoma au huisha?
Jibu ni NDIO, Mara baada ya kupata ulichokuwa ukikitaka au kukitafuta furaha hufikia kikomo, na utajikuta unaanza kutafuta kitu kingine kitakacho kupa furaha.
Mfano kila mwanadamu humwomba Mungu siku moja apate kuingia mbinguni. Wengine husali ili Mwenyezi Mungu awapatie wanachokitafuta na wakikipata wataendelea kusari na kuomba awape kingine tena na tena
Je sisi binadamu ni punda tunaokimbiza karoti?
Itizame hiyo picha kwa makini, umewaza nini? Yes ni punda anakimbiza karoti ambayo hawezi kuifikia,
Je nini kitatokea ebdapo kamba itakatika karoti ikadondoka? Yes punda atakula karoti na ataacha kukimbia,
Je endapo ikifungwa karoti nyingine nini kitatokea? Yes punda ataebdelea kukimbiza karoti, kamba ikikatika tena punda atasimama na kula karoti, hilo zoezi la kufunga karoti na kamba kukatika likiendelea tena tena itafikia kipindi punda atashiba na hata ukifunga karoti nyingine hataikimbiza atasimama tu kwa sababu alishakipata anachokitaka na alishashiba na kukinahi
Je kilichomfanya punda akimbize karoti ni njaa au utamu wa karoti?
Jibu ni hapana sio njaa wala utamu wa karoti
je ni nini hasa kilichokuwa kinamfanya akimbie kiasi hicho?
Jibu ni DOPAMINE, hii ni kemikali inayozalishwa kwenye ubongo punde tu baada ya kupata unachokitaka au ulichokuwa ukikitafuta kwa muda mrefu.
Hii kemikali ikizalishwa kwenye ubongo raha utakayoipata inakaribia kwa mbali na mshindo wa tendo la ndoa. Kuna vitu visivyo vya asili vinaweza kuufanya ubongo wako uzalishe dopamine mfano pombe,sigara au madawa ya kulevya .vitu hivyo ni hatari kwa afya yako ya akili.
HIVYO BASI FURAHA INATOKANA NA DOPAMINE,
JE TUNAWEZA KUJITENGENEZEA FURAHA KWA NJIA ZISIZO NA MADHARA?
Jibu ni ndio, unaweza kucheza game ukishinda unafurahi, unaweza kushabikia mpira timu yako ikishinfa unafurahi, unaweza kumuomba Mungu kwa imani yako akupe chochote ukitakacho ukikipata unafurahi, unaweza kutazama movie kama prison break au money heist ukajiweka upande wa Michael scholfield au Professor movie ikiisha unafurahi automatic, unaweza kutizama basketball au kucheza kabisa timu yako ikishinda unafurahi. KILA UNAPOSHINDA AU KUPATA UKITAKACHO DOPAMINE HUZALISHWA KTK UBONGO WAKO.
Lengo la uzi huu ni kukuhamasisha na kukuelewesha wewe mwana JF jifunze kujitengenezea Furaha yako mwenyewe kwa njia zisizo na madhara kama vile kupenda michezo na burudani, mazoezi n.k kwa njia zisizo na madhara.
FURAHA HULETA AMANI, HUONGEZA KINGA YA MWILI NA HUREFUSHA SIKU ZA KUISHI, HUZUNI NI KINYUME CHA FURAHA, HUPUNGUZA SIKU ZA KUISHI KWA KUKUPA MSONGO WA MAWAZO, HOFU N.K.
TUITAFUTE FURAHA BILA KUCHOKA WALA KUKATA TAMAA KAMA PUNDA ANAYEKIMBIZA KAROTI
Nawasilisha

Upvote
1