Maana ya haya maneno na namna ya kuyatumia katika sentensi

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Kuna Haya maneno, naweza nikasema hayajawa professional kichwani mwangu maana nashindwa kuyaelewa na ni sehemu ipi sahihi katika sentensi yanafaa kukaa/kuyatumia..

As well as
&
As long as.


Nawasilisha
 
Kwani kuna ulazima wa kuyatumia...? Kama vipi achana nayo bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…