maana ya huu msemo

maana ya huu msemo

Voice of Wisdom

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
537
Reaction score
240
wanajamvi naomba mnijuze maana ya msemo huu "atangazaye nilimo si mwana wa liwali" nimeusikia leo prof kabudi wa udsm akiusema katika mahafali ya chuo cha usimamizi wa kodi tra-ita
 
ok unaweza uka maanisha kwamba mtu afanyae mambo kinyume na taratibu na sheria za mahali fulani basi si member wa sehemu ile
 
Back
Top Bottom