Voice of Wisdom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 537 Reaction score 240 Jan 26, 2013 #1 wanajamvi naomba mnijuze maana ya msemo huu "atangazaye nilimo si mwana wa liwali" nimeusikia leo prof kabudi wa udsm akiusema katika mahafali ya chuo cha usimamizi wa kodi tra-ita
wanajamvi naomba mnijuze maana ya msemo huu "atangazaye nilimo si mwana wa liwali" nimeusikia leo prof kabudi wa udsm akiusema katika mahafali ya chuo cha usimamizi wa kodi tra-ita
hyle master JF-Expert Member Joined Jan 27, 2013 Posts 207 Reaction score 23 Feb 2, 2013 #2 ok unaweza uka maanisha kwamba mtu afanyae mambo kinyume na taratibu na sheria za mahali fulani basi si member wa sehemu ile
ok unaweza uka maanisha kwamba mtu afanyae mambo kinyume na taratibu na sheria za mahali fulani basi si member wa sehemu ile