maana ya incomplete ktk examination Results za vyuo?

odinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
429
Reaction score
109
Jana kuna mdogo alinieleza kua matokea yake pale IFM yamekua marked 'Incomplete'
alipofuatilia mkuu wae wa idara alimuambia kua hujafana somo fulani (mgt) mwanafunzi alimuambia kua nimefanya mwl akajifanya anaangalia makaratas yake akaibuka kua hukufanya assigment kesho mwanaf akamletea test zake zote mwl akajifanya ilikua bahati mbaya tulichanganya matokeo na mtu fulani ambaye namba zenu za mwisho zinafanana. je nn maana ya incomplete au ni umungu mtu wa malecturer au ni Institute of Finance Mgt inavyozid kudidimia/?
 
JF sasa imeshakuwa jalala...
Google maana ya Incomplete au litafute kwenye dictionary otherwise tuambie kama una jingine!
 
Hii ilitakiwa iishie huko huko IFM
 
Ndo hujakamilisha, mwisho wa habari unarejea mwaka mzima!
 
We nae unajihesabu uko chuo kikuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…