Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msela halogeki(harogwi)Nimeskia huu msemo kwenye mwimbo wa professa j...
Zali la mentally, rejea ukauskilize...
Sasa nataka nijue je huu msemo (uchawi hauendi kwa mentally) unamaanisha nini?
Cc Mshana Jr
Mentali ni neno lililotoholewa toka neno la kiingereza mental Yaani akili ama kiakili (mentally)Nimeskia huu msemo kwenye mwimbo wa professa j...
Zali la mentally, rejea ukauskilize...
Sasa nataka nijue je huu msemo (uchawi hauendi kwa mentally) unamaanisha nini?
Cc Mshana Jr
Oh asante legend nimeelewaMentali ni neno lililotoholewa toka neno la kiingereza mental Yaani akili ama kiakili (mentally)
Kwa tafsiri iliyozoeleka ni chizi ama chizi fresh...kijana barobaro asiye na maarifa na ambaye maisha yake hayaelewekieleweki mara nyingi ni mtumiaji mzuri wa mmea
Uchawi ni kaliba yenye vigezo vyake pia...uchawi haufanyi kazi kwenye vitu vyenye kasoro na ndio maana ukitaka kumkomoa mtu mwenye uchawi wa chuma ilete mpe noti iliyopungua kipande ama yenye kasoro na wao kwa kulitambua hili ndio maana hupendelea za sarafu
Chizi ama barobaro ama mentali tayari ni binadamu mwenye kasoro hivyo huwezi kumuongezea kasoro nyingine.. Ndio maana ya huo usemi wako
Btw umeshawahi kusikia wimbo wa Mondi kuwa chizi karogwa tena!? Yaani ni mshangao kwakuwa uchawi hauna mapigo mawili bali una featuring ya collabo...yaani kama una kimavi unaongezewa na bakshish ya gundu
Good morning Tanganyika...!!!!
We binadamu kimavi ndo nini..?Mentali ni neno lililotoholewa toka neno la kiingereza mental Yaani akili ama kiakili (mentally)
Kwa tafsiri iliyozoeleka ni chizi ama chizi fresh...kijana barobaro asiye na maarifa na ambaye maisha yake hayaelewekieleweki mara nyingi ni mtumiaji mzuri wa mmea
Uchawi ni kaliba yenye vigezo vyake pia...uchawi haufanyi kazi kwenye vitu vyenye kasoro na ndio maana ukitaka kumkomoa mtu mwenye uchawi wa chuma ilete mpe noti iliyopungua kipande ama yenye kasoro na wao kwa kulitambua hili ndio maana hupendelea za sarafu
Chizi ama barobaro ama mentali tayari ni binadamu mwenye kasoro hivyo huwezi kumuongezea kasoro nyingine.. Ndio maana ya huo usemi wako
Btw umeshawahi kusikia wimbo wa Mondi kuwa chizi karogwa tena!? Yaani ni mshangao kwakuwa uchawi hauna mapigo mawili bali una featuring ya collabo...yaani kama una kimavi unaongezewa na bakshish ya gundu
Good morning Tanganyika...!!!!
Nuksi wewe mtuWe binadamu kimavi ndo nini..?
Kuna kimanzi nataka unirogee kinipende Wala kisiweze kusema no hata punje vipi unaweza..?Nuksi wewe mtu
Naweza ndio nipe number yake nimrogeKuna kimanzi nataka unirogee kinipende Wala kisiweze kusema no hata punje vipi unaweza..?

Kwenda zako..Naweza ndio nipe number yake nimroge
Asante...sasa kwa taarifa yako nitaipata kwa njia zangu mwenyeweKwenda zako..
Unamatisho ya kitoto sana! Hizo enzi tumetoka huko kitambo.. uchawi na technology wapi na wapi..😂Asante...sasa kwa taarifa yako nitaipata kwa njia zangu mwenyewe
Unamatisho ya kitoto sana! Hizo enzi tumetoka huko kitambo.. uchawi na technology wapi na wapi..[emoji23]
Kuwa mpole...subiri matisho ya kitoto yakifanya kazi ndio utajua mayi sio mmaUnamatisho ya kitoto sana! Hizo enzi tumetoka huko kitambo.. uchawi na technology wapi na wapi..[emoji23]
Nimuongezee tu kidogo shetani/wachawi huwa haaribu sehemu ya hovyo mf wakikujua labda una kipawa flani cha uelewa(elimu),Nyota kali au mtu attractive yani hata madhabahu na mikosi ya ukoo huwa yanawaandama sana watu hawa hakika MUNGU atuongoze katika maisha yetuMentali ni neno lililotoholewa toka neno la kiingereza mental Yaani akili ama kiakili (mentally)
Kwa tafsiri iliyozoeleka ni chizi ama chizi fresh...kijana barobaro asiye na maarifa na ambaye maisha yake hayaelewekieleweki mara nyingi ni mtumiaji mzuri wa mmea
Uchawi ni kaliba yenye vigezo vyake pia...uchawi haufanyi kazi kwenye vitu vyenye kasoro na ndio maana ukitaka kumkomoa mtu mwenye uchawi wa chuma ilete mpe noti iliyopungua kipande ama yenye kasoro na wao kwa kulitambua hili ndio maana hupendelea za sarafu
Chizi ama barobaro ama mentali tayari ni binadamu mwenye kasoro hivyo huwezi kumuongezea kasoro nyingine.. Ndio maana ya huo usemi wako
Btw umeshawahi kusikia wimbo wa Mondi kuwa chizi karogwa tena!? Yaani ni mshangao kwakuwa uchawi hauna mapigo mawili bali una featuring ya collabo...yaani kama una kimavi unaongezewa na bakshish ya gundu
Good morning Tanganyika...!!!!
Kufwa hakuna blekiLaleki..