Maana ya kifupisho MV, MT, RV, SS na MFV kabla ya jina la meli

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
5,489
Reaction score
14,091
Meli kabla ya jina lake kuna kuwa na kifupisho kama MV, MT, RV, SS na MFV na kisha kuandikwa jina la meli husika.

Hizi ni maana ya vifupisho hivyo
  • MV-Motor Vessel
  • MT-Motor Tanker
  • RV-Research Vessel
  • SS-Steam Ship
  • MFV-Motor Fishing Vessel
Baada ya Kifupisho MV hufata jina la meli na majina ya meli huwa hayafanani kila meli huwa na jina lake,mfano
MV Victoria,MV Maersk Emma.

Meli nyingi zimekuwa na desturi ya kupewa majina ya kike kutokana na meli kuwa na matunzo sawa na mwanamke.
Meli kuwa kama tumbo la mwanamke ambalo limebeba mabaharia na mzigo kwa muda mrefu na kufikisha sehemu nyingine.

Hizi ni nukuu kutoka kwa watu mbalimbali kutokana na meli kuitwa majina ya kike au kufananishwa na mwanamke.

1.Ships, like, for example, vases, generally symbolise femininity because they are vessels; like the womb, supposedly a woman's defining characteristic, their function is to contain. This is the flipside of the phallic symbols traditionally embodied in spires, towers, etc.

Helen E. Mundler, Strasbourg France

2.It is because they are similar to women : They are expensive, need a lot of paint - and they always have a lot of men around them !

Uwe Junge, D 25899 Niebuell Germany

3.Sailors were aware of mother nature's power and wanted to please her, so they gave ships female names to appease her.

Cal Melrose, Calgary, Alberta

N.B: Wafaransa wao huzipa meli majina ya kike na ya kiume. Mfano meli za kontena na magari(Liner Ship) hupewa jina la kike kutokana na kuongezeka kwa kimo.

Wajerumani nao baadhi ya meli zao hupewa jina la kiume mfano meli iliyotumika katika vita kuu ya 2 ya dunia waliita Bismark kuakisi ni meli shupavu na yenye nguvu.

Cruiser ship au meli za ufahari zimekuwa zikitumia majina ya majiji maarufu,watu au matukio.
Ship-Exterior-2-sm.jpg
 
Meli kabla ya jina lake kuna kuwa na kifupisho kama MV,MT,RV,SS na MFV na kisha kuandikwa jina la meli husika.

Hizi ni maana ya vifupisho hivyo
MV-Motor Vessel
MT-Motor Tanker
RV-Research Vessel
SS-Steam Ship
MFV-Motor Fishing Vessel

View attachment 1116884View attachment 1116885
Check dude hili.
Daaaaa
 
RV-Research vessel hizi hutumika kufanya utafiti baharini au kwenye maziwa.

MT- Motor Tanker hizi ni meli za kubeba shehena ya mafuta.

FV- Fishing vessel hizi ni meli za uvuvi.

MV- Motor Vessel hujumuisha meli zote za kawaida.

Maelezo haya yanaweza kukusaidia kujua nini kimeandikwa kwenye meli au kwanini meli zinahusishwa kama mwanamke.
6dbdb5035fb4808e2a96864d414b7de9.jpg
stella-maris-ii_7413907_629479_Medium.jpg
 
Meli kabla ya jina lake kuna kuwa na kifupisho kama MV,MT,RV,SS na MFV na kisha kuandikwa jina la meli husika.

Hizi ni maana ya vifupisho hivyo
MV-Motor Vessel
MT-Motor Tanker
RV-Research Vessel
SS-Steam Ship
MFV-Motor Fishing Vessel

Baada ya Kifupisho MV hufata jina la meli na majina ya meli huwa hayafanani kila meli huwa na jina lake,mfano
MV Victoria,MV Maersk Emma.

Meli nyingi zimekuwa na desturi ya kupewa majina ya kike kutokana na meli kuwa na matunzo sawa na mwanamke.
Meli kuwa kama tumbo la mwanamke ambalo limebeba mabaharia na mzigo kwa muda mrefu na kufikisha sehemu nyingine.

Hizi ni nukuu kutoka kwa watu mbalimbali kutokana na meli kuitwa majina ya kike au kufananishwa na mwanamke.

1.Ships, like, for example, vases, generally symbolise femininity because they are vessels; like the womb, supposedly a woman's defining characteristic, their function is to contain. This is the flipside of the phallic symbols traditionally embodied in spires, towers, etc.

Helen E. Mundler, Strasbourg France

2.It is because they are similar to women : They are expensive, need a lot of paint - and they always have a lot of men around them !

Uwe Junge, D 25899 Niebuell Germany

3.Sailors were aware of mother nature's power and wanted to please her, so they gave ships female names to appease her.

Cal Melrose, Calgary, Alberta

N.B: Wafaransa wao huzipa meli majina ya kike na ya kiume. Mfano meli za kontena na magari(Liner Ship) hupewa jina la kike kutokana na kuongezeka kwa kimo.

Wajerumani nao baadhi ya meli zao hupewa jina la kiume mfano meli iliyotumika katika vita kuu ya 2 ya dunia waliita Bismark kuakisi ni meli shupavu na yenye nguvu.

Cruiser ship au meli za ufahari zimekuwa zikitumia majina ya majiji maarufu,watu au matukio.
View attachment 1116884View attachment 1116885
Hii kwenye picha imeanza MSC tafsiri je!
 
Back
Top Bottom