kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Si hao tu, umemsahau Musonda na hata golini ungemuanzisha MetachaAucho hajacheza.
Mudathir hajacheza.
Yao Yao hajacheza.
Skudu Hajacheza
Job Hajacheza
Lomalisa Hajacheza
Faridi Hajacheza
This Can't be football wachezaji Key player 7 hawajacheza na bado wameshinda goal tano, This is Insane [emoji24][emoji119]
Nahamia yanga wanalunyasi wenzangu mnisamehe
Karibu sana mkuuAucho hajacheza.
Mudathir hajacheza.
Yao Yao hajacheza.
Skudu Hajacheza
Job Hajacheza
Lomalisa Hajacheza
Faridi Hajacheza
This Can't be football wachezaji Key player 7 hawajacheza na bado wameshinda goal tano, This is Insane [emoji24][emoji119]
Nahamia yanga wanalunyasi wenzangu mnisamehe
Sijajua wote ndo najifunza taratibu mkuu nipokeeniSi hao tu, umemsahau Musonda na hata golini ungemuanzisha Metacha
Ngao tushukuru Mungu wanalunyasi hali yetu ilikuwa tete sanaNa Bado kikapigwa Ngao ya Hisani.
Na timu Yao Haijafika Makundi CAF CL tangu Mwaka 1998 Hadi Leo.
Takribani miaka 25.
Umri ambao Mtu amezaliwa amemaliza chuo KIKUKU ameona na Ana watoto.
Ngao tushukuru Mungu wanalunyasi hali yetu ilikuwa tete sana
Mam*ko mbovu pia kwa kuzaa mtu zwazwa la utopoloni.Simba ni Mbovu na hili Nimekuwa nikilosema mda mrefu sana hata kabla ya Usaji, kabla ya MSIMU hata haujaisha.
UONGOZI mbovu.
Usajili MBOVU Sana.
Wachezaji WABOVU.
KOCHA Mbovu nk, nk, nk......
Kielelezo sahihi Cha mazwazwa/mazuzu ya UTOPOLONI.Aucho hajacheza.
Mudathir hajacheza.
Yao Yao hajacheza.
Skudu Hajacheza
Job Hajacheza
Lomalisa Hajacheza
Faridi Hajacheza
This Can't be football wachezaji Key player 7 hawajacheza na bado wameshinda goal tano, This is Insane [emoji24][emoji119]
Nahamia yanga wanalunyasi wenzangu mnisamehe
Karibu YANGA ila uwe na namba ya NIDA,..Vinginevyo hatukupokei😉😉Aucho hajacheza.
Mudathir hajacheza.
Yao Yao hajacheza.
Skudu Hajacheza
Job Hajacheza
Lomalisa Hajacheza
Faridi Hajacheza
This Can't be football wachezaji Key player 7 hawajacheza na bado wameshinda goal tano, This is Insane [emoji24][emoji119]
Nahamia yanga wanalunyasi wenzangu mnisamehe
Una hasira sana mwanalunyasi unapaniki kimbumbumbu sanaKielelezo sahihi Cha mazwazwa/mazuzu ya UTOPOLONI.
Ndio post zao hizi za kishoga!
Unazidi kuonyesha ubora wako, PhD ya uzuzu. Unalijua zuzu lilivyo lkn.Una hasira sana mwanalunyasi unapaniki kimbumbumbu sana
Kwani uwanjani wanatakiwa wachezaji wangapi at a time?Aucho hajacheza.
Mudathir hajacheza.
Yao Yao hajacheza.
Skudu Hajacheza
Job Hajacheza
Lomalisa Hajacheza
Faridi Hajacheza
This Can't be football wachezaji Key player 7 hawajacheza na bado wameshinda goal tano, This is Insane [emoji24][emoji119]
Nahamia yanga wanalunyasi wenzangu mnisamehe
Sisi asipokuwepo chama pengo zito linaonekana ila kwa yanga huoni tofauti yototeKwani uwanjani wanatakiwa wachezaji wangapi at a time?
Kwa hiyo Chama ni mchezaji hatari?Sisi asipokuwepo chama pengo zito linaonekana ila kwa yanga huoni tofauti yotote