Maana ya Kisirani

Maana ya Kisirani

franknombo

Senior Member
Joined
Mar 30, 2019
Posts
170
Reaction score
177
Habari wadau, nini maana ya kisirani? Je mtu mwenye kisirani utamtambuaje?
 
Mtu mwenye kisirani anapenda kukuza Mambo. Yaani kitu kidogo tu yeye atakikuza kaugomvi kadogo tu yeye atakakuza. Mtu mwenye kisirani anapenda kuhifadhi vitu moyoni. Utatokea mkwaruzano yatapita na utayasahau lakini muhusika atakuwa bado analo tu.
 
Back
Top Bottom