F franknombo Senior Member Joined Mar 30, 2019 Posts 170 Reaction score 177 Oct 3, 2019 #1 Habari wadau, nini maana ya kisirani? Je mtu mwenye kisirani utamtambuaje?
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,644 Reaction score 3,880 Oct 3, 2019 #2 Mtu mwenye kisirani anapenda kukuza Mambo. Yaani kitu kidogo tu yeye atakikuza kaugomvi kadogo tu yeye atakakuza. Mtu mwenye kisirani anapenda kuhifadhi vitu moyoni. Utatokea mkwaruzano yatapita na utayasahau lakini muhusika atakuwa bado analo tu.
Mtu mwenye kisirani anapenda kukuza Mambo. Yaani kitu kidogo tu yeye atakikuza kaugomvi kadogo tu yeye atakakuza. Mtu mwenye kisirani anapenda kuhifadhi vitu moyoni. Utatokea mkwaruzano yatapita na utayasahau lakini muhusika atakuwa bado analo tu.
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,623 Reaction score 13,759 Oct 3, 2019 #3 Achana na vitu usivyovielewa