Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Mara zote kampuni na asasi za Betting industry zimetakiwa kuwakumbusha wateja kubeti kistaarabu , hii nikutokana na ukweli kuwa betting inasabaisha matatizo ya Afya ya akili Kama msongo na addiction. Unachopaswa kuifundisha akili yako nikiwa hakuna utajiri unaotafutwa kwa betting na kuwa betting Ni mchezo wa kujifurahisha. Nilazima utambue Ni wakati gani sahihi wa kutakuwa kupumzika au kuacha kabisa Kama unakubwa na changamoto ya kupoteza Sana.
Beti kwa kiwango ambacho hutaumia Kama ukipoteza.
Kwamfano umebeti TSH 100 ukapoteza hutaumia Kama umebeti laki moja, hakikisha pesa unayobetia Ni fedha ya ziada, isiyo katika matumizi nawala hutarajii ushindi huo katika kutatua changamoto zako za kiuchumi.
Jidhibiti : Kama wewe nibinadamu ukaamua kuacha jambo fulani na huwezi kuacha Basi ujue unachangamoto ya Afya ya akili. Nilazima uweze kujuzuia kuendelea kucheza au kucheza kwa kiasi.
Wito wangu kwakuwa serikali inakudanya mapato huko ingesaidia katika kampeni za kubeti kistaarabu na pengine kuwapatia msaada wa kisaikolojia waliokuwa addicted
Cheza kistaarabu, usichukulie poa