maana ya maneno haya ni ipi?

Tunazunguuuka,ukweli ni kwamba huyu dada anajua huko anakoenda ni lazima ataombwa mzigo na kuhusu wanaume hata tubebwe mgongoni ni kwamba hata mwanamke ajitume kila sekta ya mapenzi,ajipendekeze vp,awe faithful vp,kibuti au kumcheat ni constant,kama kuna maana nyingine mi nakufa hapa sasa hivi!
 
Mkuu alishaona mwelekeo wako. Kwamba msisitizo wako ulikuwa na ziada.
 

kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…