Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 368
naomba maana ya haya maneno,tabahari,bubwi,zikua na tobwe.Halafu napenda kujua yafuatayo,wema kwa lugha ya kishairi unaitwaje?,kitabu kilichopigwa chapa,Kibuyu cha kutengenezea siagi,pembe ya ndovu inayokua.